NEWS: Discount viagra europe Discount phentermine prescription Discount viagra perscription drug Order phentermine on line? 92 accepted cod phentermine Compare viagra prices, Pharmacy online phentermine Purchase tramadol online. Phentermine sites that ship cash on delivery Viagra retail discount Home made viagra Valium vs xanax Xanax no prescription Viagra sales online Erection viagra Free viagra without prescription Phentermine fda Xanax withdrawl Effects phentermine side strong Information viagra woman What does phentermine do to your heart Long term phentermine use Viagra testimony Phentermine very cheap Buying phentermine Cialis pill? Discount online phentermine Buy cheap phentermine yellow Tramadol hcl tab Phentermine hydrochloride ship to missouri: Buy viagra prescription online Compare phentermine prices Cialis compare levitra viagra Picture of generic xanax Tramadol uses Recreational viagra use Generic india viagra Cheap viagra generic Cialis drug Natural phentermine Phentermine cheapest price 5 no perscription! Cialis and pomegranate interaction Viagra for woman? Ionamin phentermine Cheapest xanax online! Xanax drug interactions Buy cod phentermine Phentermine online Methadone and xanax Recreational viagra Viagra online sales Mexican phentermine Cod tramadol! Phentermine mexican pharmacies online Phentermine pictures Cheap phentermine without a prescription Compare viagra cialis levitra. Xanax master card Long term effects of xanax, Viagra cialis levitra comparison dosages Does viagra woman work 5 in round white tablets no imprint code 50 mg viagra Phentermine shipped cod Phentermine for less Viagra information Phentermine free consultation? Viagra kaufen Is tramadol a narcotic Cheap quality viagra Phentermine and topiramate for weightloss Diet loss phentermine pill weight Diet phentermine pill sale Kevin harvick viagra Xanax withdrawls Purchase viagra online Cialis new viagra. Viagra for woman information Online ordering viagra Viagra prescription uk Buying phentermine: Can i take xanax with zocor and procardia Phentermine overnight Does viagra work Low natural resources for the drug phentermine Viagra treatment migraine headache Buy in online uk viagra, Apcalis cialis 180 phentermine Black market costa rica pharmacy phentermine no imprint code Buying tramadol online Loss phentermine story success weight How much weight will you lose on phentermine Online xanax prescription Cialis compared to viagra Paxil with phentermine interactions Xanax addiction treatment. 0 buy by popl powered viagra wordpress Cheap tramadol 180 Viagra in woman Lethal doses of klonopin and xanax Stopping xanax Cialis overnight! Phentermine and urine drug screen Smoking xanax: Ingredient phentermine Saturday delivery phentermine Viagra prescription medication Free cialis 25 mg Viagra uses Xanax detoxification Viagra pictures Pfizer viagra online Online adipex phentermine prescriptions. Side effects of tramadol hydrochloride On line prescription viagra 100 phentermine Female spray viagra Tramadol hc Free viagra sample I need to find cheap phentermine delivered to fl Online pharmacy phentermine xenical meridia Compare phentermine prices Canada cialis generic? Xanax shipped cod No perscription xanax cheap Acquisto cialis Generic india viagra Buy cheap purchase uk viagra Viagra price Online phentermine pharmacy best cheapest Tramadol 50mg. Buy viagra online get prescription Addiction recovery xanax, Price for generic viagra Diet inexpensive phentermine pill Generic viagra canada No prescription phentermine Phentermine withdrawal symptoms Cheap viagra order online Cheapest viagra price Phentermine online doctor prescribed? Buy cialis uk Fast delivery phentermine, Keyword prescription qoclick tramadol without Tramadol dog Phentermine wholesale Snorting phentermine Discount phentermine online Tramadol online Cheap tramadol no prescription Cialis comparison levivia viagra Cheapest viagra online 92 accepted cod phentermine Cheap phentermine with online consultation Viagra alternatives uk Buy prescription tramadol without Buying viagra in the uk Xanax description Oxycontin xanax bars perclesept and lortab wha Generic viagra cialis Generic lowest price viagra Phentermine at cost with no prescription Picture of xanax pill Phentermine shortage Phentermine cheap free shipping Phentermine yellow 30 mg Addiction tramadol Tramadol hydrochloride tablet Phentermine cod delivery Online phentermine order Cyber pharmacy viagra Dangers of phentermine heart Buy cheap tramadol Xanax alcohol Cialis generic Tramadol prescription Free phentermine prescriptions 50 mg viagra Phentermine studies Viagra and levivia Phentermine feedback How long between phentermine and meridia Low cost phentermine Phentermine and topiramate for weightloss Tramadol hc Viagra overnight delivery Phentermine success stories Viagra cheap prescription Tramadol hydrochloride capsules Free shipping phentermine Diet pill addiction phentermine? Generic cialis soft tabs Side effects of xanax xr: Phentermine quick Buy xanax on line How long does xanax stay in the system Importing cialis from canada to us Buy cheap domain onlineatspacecom xanax Phentermine and diet pill

July 2004


Mwanamke aliyekamatwa akiiba petroli (ambayo hapa Marekani huitwa gesi) ya thamani ya dola 4 na senti 52, aliamriwa na mahakama kusimama nje ya kituo hicho cha petroli na bango kubwa mbele ya kifua chake lisemalo: NILIKAMATWA NIKIIBA PETROLI.
Watu walijaa hapo kituoni kumuona na wengine walipeleka watoto wao ili wajifunze ubaya wa wizi. Bonyeza hapa utazame picha yake na habari yenyewe.

Inaelekea bado tatizo la tovuti/ webu ambako ndiko ninahifadhi makala zangu liko pale pale. Ninaomba samahani tena. Nimepata barua pepe za wale wanaolalamika kuwa wanapokongoli ziliko makala hawapati kitu. Ni kweli. Kuna tatizo. Ninajitahidi kusawazisha.

Jina la Mungu limetumiwa miaka nenda rudi kuhalalisha unyama. Mwizi wa kura George Bush na wahafidhina wenzake wanadai kuwa vita wanavyoviongoza dhidi ya “ugaidi” ni vita ya wenye Mungu wa kweli dhidi ya wafuasi wa shetani. Makundi yanayojiita kuwa ni ya kiislamu nayo yanafanya unyama dhidi ya wengi wasio na hatia kwa madai kuwa wanapigana vita vya kidini. Wanampigania Mungu wa kweli! Mwanazuoni mmoja, jina limenitoka, aliwahi kusema kuwa dunia ina dini za kutosha kutufanya tuuane, tugombane, na kuchukiana lakini hakuna dini za kutufanya tuishi kama ndugu.

Tazama picha hii ya unyama usio na mfano uliofanya dhidi ya Mmarekani Nick Berg. Napenda kukutaarifu kuwa picha hii, hasa mwishoni, inatisha na kuchafua roho kabisa. Kama una roho nyepesi nakushauri usiitazame. Kongoli hapa uione.


Kwanza kabisa poleni. Kisha karibuni ndani! Toka kupambana na Mwalimu Sango hadi kupambana na Rais Kichaka!

Imeelezwa kuwa Saddam Hussein anatumia muda wake jela kuandika mashairi. Moja ya mashairi yake linamhusu dikteta mwenzake aitwaye George Bush. Pia anapenda sana kutengeneza bustani. Taarifa zinasema kuwa anapenda kula mkate wa Kimarekani uitwao Muffins, na biskuti. Kongoli hapa usome habari nzima. Sijui kama unajua kuwa Saddam ni mtunzi pia wa vitabu. Ameshaandika vitabu vitatu: Zabibah and the King, The Fortified Castle and Men and the City, na Be Gone Demons! Vitabu hivi vilichapwa bila jina la mtunzi. Kongoli hapa usome zaidi.

Tuenzi vitendawili.
Nani anaweza kutegua kitendawili hili?

Kitendawili…
Msichana wangu amejishika kiuno.

Una jibu? Niandikie.

Ninapitia vitabu vyangu vya kumbukumbu nilizoandika nikiwa Tanzania. Hii ni sehemu ndogo ya mambo niliyoandika katika pilikapilika za kwenye daladala katika jiji la Dar Es Salaam. Ni kati ya mwaka 1999-2001.

Oya, Shika Mchuma!

Kondakta: Kaa mkao wa pesa.
Abiria: Si tumetosha? Twende basi!

Kondakta: Tunafanya kazi kwa hesabu mama mdogo.
Abiria: Hebu twendeni. Kuna watu huko mbele.
Kondakta: Kama una haraka ungeenda toka juzi. Tuko kazini hapa.
Mpiga debe: Wenye haraka wanaonyesha. Wenye haraka huchukua teksi.
Abiria: Tukichukua teksi mtakula wapi. Hebu acheni dharau. Twendeni, gari si imejaa?
Mpiga debe: Jamani, mchuma haujai. Inayojaa ni ndoo ya maji. Haya, Kariakoo, Kariakoo… gari nyeupe hii.
 
XXXXXXXXXXXXXXX****XXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Kondakta: Tiketi mbele kama tai. Tiketi mbele jamani. Tiketi sio mzigo wa bangi…mbele kama tai.
 
XXXXXXXXXXXXXX***XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Kondakta: Manzese wapo?
Abiria: Tupooooo…
Kondakta (akijifanya kuwa hakusikia): Manzese hakuna sio?
Abiria (kwa hamaki): Shushaaaaa…Tupo!
Kondakta (huku akijizuia kucheka): Babu endesha, Manzese hakuna.
Abiria: He, we konda vipi? Tumesema tupo!
 
XXXXXXXXXXXXX***XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Ni saa tano usiku. Siku ya jumamosi. Kituo cha mabasi Mwenge. Tunaelekea Mbezi Beach.
 
Abiria: Dereva twende bwana…saa za majeruhi hizi.
Kondakta: Bado vichwa babu. Gari haiendi mswaki hii hata siku moja.
Abiria (amelewa chakari): Nina haraka ya kufumania. Nimeambiwa saa tano na nusu ndio saa ya kumfumania mbaya wangu.
 
Mara abiria huyu aliyelewa anaanza kutapika.
 
Abiria 1: Jamani watu wameanza kutapika humu ndani.
Abiria 2: Nipisheni nitoke miye…
Abiria 3: Afadhali niende kwa miguu.
Kondakta: Kuna wagonjwa huku?
Abiria 4: Twendeni. Hamjui ni mambo ya wikiendi haya?
Abiria 5: Pombe za bure hizo.
Kondakta: Kama sio pombe za bure basi ni za mkopo. Shuka bwana mzee. Walevi hawa kwanza huwa hawataki kulipa.
 
XXXXXXXXXXXXXXXX***XXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Abiria: Kuna nafasi?
Kondakta: Nafasi kwani gesti hapa? Kama unakwenda, twende.
 
XXXXXXXXXXXXXXX***XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

 

Kutakuwa na mabadiliko ya muundo na rangi ya blogu hii siku za karibuni. Mpangilio wa kila kitu utakuwa tofauti. Ila blogu itakuwa “rafiki wa watumiaji” kuliko ilivyo hivi sasa. 

Bado mjadala huu haujatuama. Je wanablogu (bloggers) ni waandishi wa habari? Je blogu ni uandishi? Waandishi, wanasiasa, watengeneza sera, wanataaluma, n.k. wana mawazo tofauti juu ya blogu. Wako wanaosema kuwa wanablogu (bloggers) ni aina fulani ya waandishi. Wengine wanasema hapana. Lakini kukubaliwa kwa wanablogu kuhudhuria mkutano wa chama cha Demokrasia cha hapa Marikani, ambao utampitisha John Kerry na John Edwards kuwa wagombea Urais na mgombea mwenza, kumechukuliwa kama ni moja ya hatua ambazo zinawapa wanablogu hadhi ya uandishi.

Kama hujatazama sinema mpya ya Michael Moore : Fahrenheit 911, tafadhali sana nenda kaitazame. Pia tazama filamu zake nyingine hasa Bowling For Columbine na Roger and Me. Nenda kaitazame, utakuja kuniambia! Wale walioko Tanzania, kuna kundi la vijana wenye mwamko wa kimapinduzi ambao watakuwa na kopi yake siku za karibuni. Nitatoa maelezo ya jinsi ya kuwapata.

Sitaomba msamaha.” Haya ni maneno ya Rais wa Ufilipino, mwanamama Gloria Arroyo, kufuatia kuondoa majeshi ya nchi yake toka Iraki ili kuokoa maisha ya Angelo de la Cruz aliyekuwa ameshikiliwa mateka huko Iraki. Arroyo anasema kuwa Angelo ana familia ya watoto tisa wanaomhitaji hivyo uhai wake ndio kipaumbele cha nchi yake. Serikali ya Rais Kichaka (Bush) imetoa malalamiko juu ya hatua hiyo.

Tujiulize: Hivi binti yake Bush angekuwa ameshikiliwa na hao jamaa na wakiwa wanatishia kumkata kichwa, Bush angesema, “Potelea mbali. Wamuue. Siwezi kutimiza masharti ya magaidi. Nafuu mtoto wangu auawe kikatili kuliko kuwasikiliza. ” Angethubutu kusema hivyo? Thubutu!

Ndugu zanguni, kuna tatizo kidogo kwenye “link” za makala zangu. Ninarekebisha. Kwahiyo baada ya muda mfupi mtaweza kupata makala ninazotoa kwenye gazeti la Mwananchi kila jumapili. Na pia makala nyingine nilizoandika huko nyuma kwenye magazeti mengine. Na tafsiri ya zile nilizoandika kwa kiswahili. Ninaomba mniwie radhi kwa usumbufu. Makala unayoweza kuipata ni moja iitwayo BABU SEYA. Hii ilitoka jumapili mbili zilizopita.

Baada ya wapinzani kumtoa madarakani dikteta aliyekalia kiti toka mwaka 1979, Mzee Moi, wapinzani wa Tanzania walitumia nafasi hiyo kuwataka wananchi wakatae chama tawala na kuleta mabadiliko. Kama Kenya ndio mfano ambao viongozi wa upinzani Tanzania wanataka wananchi wauige, basi huu ni mfano mbaya sana. Kenya inatupa fundisho moja kubwa sana. Vyama vya siasa vinaongozwa na binadamu. Viwe ni vyama vya upinzania au chama tawala. Wezi wa chama cha KANU hawakuwa wakiiba eti kwakuwa wao ni wanachama wa KANU. Waliiba kwa kuwa ni wanadamu ambao hawana maadili na utu. Ubinadamu wa viongozi wa upinzania hauna tofauti na ubinadamu wa viongozi wa chama tawala. Tunaona jinsi ambavyo viongozi waliokuwa wakidai kuwa katiba ya Kenya ibadilishwe, sasa wameingia madarakani wamebadili msimamo. Tumeona kashfa za rushwa zinawaandama kila kukicha. Leo hii gazeti la Daily Nation lina habari hii ya Waziri wa Uchukuzi ambaye inaelekea kapewa kitu kidogo na Wachina. Umeusikia wimbo wa Wainaina  uitwao Kenya Nchi ya Kitu Kidogo? Anasema, “askari kama unataka chai nenda Limuru: Limiru inalimwa chai. Kenya ni nchi ya kitu kidogo wakati wa “baba” Moi. Ni nchi ya kitu kidogo wakati wa Mzee Kibaki. Halafu unaona nchi zetu za Afrika, badala ya ku-recycle takataka, tuna-recycle watawala.

Wabunge wenye siasa za kihafidhina wameshindwa kupitisha sheria ambayo ingeifanya katiba ibadilishwe ili kutamka kuwa ndoa ni kati ya mwaume na mwanamke! Rais Bush na chama cha Republican wamekuwa mstari wa mbele kutafuta njia ya kuzuia kisheria kasi ya ndoa za wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake. Swali ambalo Bush na wenzake wanashindwa kujibu hadi hivi sasa ni hili: kwanini wanataka kubadili katiba kwa kutumia imani zao za kidini?
Bush na wenzake wanadai kuwa ndoa mwanaume na mwanamke ndio mapenzi ya Mungu. Sasa kama je mtu hamwamini huyo Mungu wao? Hili suala kwa kifupi ni gumu sana. Huko Afrika Kusini kipindi cha luninga cha Yizo Yizo kimeonyesha wanaume wawili wakipigana busu kwa mapenzi na mahaba yasiyo na kifani. Ni mara ya kwanza kwa luninga nchini humo kuonyesha picha ya namna hii. Afrika Kusini ndio nchi pekee Afrika hivi sasa ambayo katiba yake inatoa haki kwa watu wa jinsia moja kuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Jifunze kiswahili:
Genetic engineering= uhandisi wa maumbile
Biodiversity= bioanuai
Cloning= kupachiza
Hacker= mchazaji
DNA= shanga za urathi
Stem cells= seli asili

Ndugu yangu uliyetuma maoni yako kwa jina la CRITIC, tafadhali sana nitumie anuani yako. Nadhani uko New York. Umezungumzia juu ya Taifa la Waislamu. Ningependa kuwa na anuani yako ili tuendeleze mjadala. Pia kuhusu blog kwa kiswahili, nadhani itaitwa blogu. Kwahiyo weblog itakuwa webulogu au tovutiblogu.

Narudia kuweka tena sehemu ya shairi langu liitwalo “Utamaduni Msalabani.” Wengi wametaka niweke sehemu nzima. NItafanya hivyo karibuni. NItarudia sehemu niliyoweka mwezi uliopita. Nataka usome na utafakari sana mistari hii michache.

Utamaduni Msalabani
Kura twapiga,
Sadaka twatoa,
Kodi twalipa,
swala twasali,
Walalanjaa Cha moto,
mbona
Bado twakiona?
 
Demokrasia ghasia
Mafukara twauziwa,
Jehanamu ya moto
Masikini twatishiwa,
Wa kusema wamesema
Wa kusikia ni viziwi,
Hivi chukua chako mapema
Ni azimio la wapi?
                                         - Dar Es Salaam, Tanzania 2003

Bado ninaendelea kukumbana na watu wanaohubiri kuwa Yesu yu karibu kuja. Mimi siwaelewi kabisa. Ninavyoelewa mimi ni kuwa Yesu yu karibu aondoke. Yuko nasi toka siku nyingi ila hatujui. Sijui tunasubiri ashuke toka mawinguni. Unajua asilimia 90 ya mambo ambayo Yesu aliyasema yalikuwa ni mafumbo. Usipoweza kufumbua, utabaki ukimsubiri. Kwanza watu wengi wanaomhubiri Yesu, hawamfahamu Yesu sawasawa. Yesu ninayemjua mimi akija leo hii hatakwenda kanisani wala msikitini. Akafanye nini? Watu wake hawako huko! Wakristo na waislamu wanabaki kushikana makoo, “Yesu hakusulubiwa,” “Yesu mwana wa Mungu,” “Yesu alikuwa ni muislamu,” “Yesu alimwaga damu ya ukombozi.” Yesu, Yesu, Yesu…. Akija wala hatapoteza muda huko. Atawaacha waendelee na ibada na swala zao na mihadhara na ma-crusade.
 
Kila mara ninaahirisha makala ninayotaka kuandika juu ya hili jambo. Ninahitaji makala ili nichambue vizuri na kufafanua nina maana gani ninaposema kuwa Yesu karibu aondoke. Na kuwa Yesu akitokea Tanzania leo hii hatakwenda kanisani wala msikitini. Watamsikia kwenye “bomba”!

SAHAU KABLA YA ALFAJIRI !
La mgambo limelia
wa kusikia wamesikia,
kama ni Ukimwi, haya
kama ni wanawake, haya
kama ni utandawizi, haya
kama ni watoto, haya,
ili mradi una ishu
inayokubalika
kwa wafadhili.
 
Usijali.
 
Mikutano
warsha
makongamano
semina
vikao
utafiti
mafunzo….
 
Tukutane
tuongee
tulalamike
tuonye
tushauri
tukemee
tunywe chai, kahawa
mlo wa mchana
mshiko tushike
picha tupige
tuondoke
tusahau yote kabla ya alfajiri. 
 
Mla kesho ni mla leo.    
                                         - July 18, 2004, Toledo, OH
 


Mwaka 1999 Ikaweba Bunting alifanya mahojiano na Mwalimu Nyerere. Mahojiano hayo yalitolewa katika gazeti la New Internationalist. Nimependa sana jibu lake hili. Soma mwenyewe:

I was in Washington last year. At the World Bank the first question they asked me was `how did you fail?’ I responded that we took over a country with 85 per cent of its adult population illiterate. The British ruled us for 43 years. When they left, there were 2 trained engineers and 12 doctors. This is the country we inherited.

When I stepped down there was 91-per-cent literacy and nearly every child was in school. We trained thousands of engineers and doctors and teachers.

In 1988 Tanzania’s per-capita income was $280. Now, in 1998, it is $140. So I asked the World Bank people what went wrong. Because for the last ten years Tanzania has been signing on the dotted line and doing everything the IMF and the World Bank wanted. Enrolment in school has plummeted to 63 per cent and conditions in health and other social services have deteriorated. I asked them again: `what went wrong?’ These people just sat there looking at me. Then they asked what could they do? I told them have some humility. Humility - they are so arrogant!

Ndio Mwalimu huyo. Ukitaka mahojiano kamili kongoli hapa.
Ukitaka kusikiliza hotuba za Mwalimu Nyerere nenda hapa.

Next Page »