NEWS: Discount viagra europe Discount phentermine prescription Discount viagra perscription drug Order phentermine on line? 92 accepted cod phentermine Compare viagra prices, Pharmacy online phentermine Purchase tramadol online. Phentermine sites that ship cash on delivery Viagra retail discount Home made viagra Valium vs xanax Xanax no prescription Viagra sales online Erection viagra Free viagra without prescription Phentermine fda Xanax withdrawl Effects phentermine side strong Information viagra woman What does phentermine do to your heart Long term phentermine use Viagra testimony Phentermine very cheap Buying phentermine Cialis pill? Discount online phentermine Buy cheap phentermine yellow Tramadol hcl tab Phentermine hydrochloride ship to missouri: Buy viagra prescription online Compare phentermine prices Cialis compare levitra viagra Picture of generic xanax Tramadol uses Recreational viagra use Generic india viagra Cheap viagra generic Cialis drug Natural phentermine Phentermine cheapest price 5 no perscription! Cialis and pomegranate interaction Viagra for woman? Ionamin phentermine Cheapest xanax online! Xanax drug interactions Buy cod phentermine Phentermine online Methadone and xanax Recreational viagra Viagra online sales Mexican phentermine Cod tramadol! Phentermine mexican pharmacies online Phentermine pictures Cheap phentermine without a prescription Compare viagra cialis levitra. Xanax master card Long term effects of xanax, Viagra cialis levitra comparison dosages Does viagra woman work 5 in round white tablets no imprint code 50 mg viagra Phentermine shipped cod Phentermine for less Viagra information Phentermine free consultation? Viagra kaufen Is tramadol a narcotic Cheap quality viagra Phentermine and topiramate for weightloss Diet loss phentermine pill weight Diet phentermine pill sale Kevin harvick viagra Xanax withdrawls Purchase viagra online Cialis new viagra. Viagra for woman information Online ordering viagra Viagra prescription uk Buying phentermine: Can i take xanax with zocor and procardia Phentermine overnight Does viagra work Low natural resources for the drug phentermine Viagra treatment migraine headache Buy in online uk viagra, Apcalis cialis 180 phentermine Black market costa rica pharmacy phentermine no imprint code Buying tramadol online Loss phentermine story success weight How much weight will you lose on phentermine Online xanax prescription Cialis compared to viagra Paxil with phentermine interactions Xanax addiction treatment. 0 buy by popl powered viagra wordpress Cheap tramadol 180 Viagra in woman Lethal doses of klonopin and xanax Stopping xanax Cialis overnight! Phentermine and urine drug screen Smoking xanax: Ingredient phentermine Saturday delivery phentermine Viagra prescription medication Free cialis 25 mg Viagra uses Xanax detoxification Viagra pictures Pfizer viagra online Online adipex phentermine prescriptions. Side effects of tramadol hydrochloride On line prescription viagra 100 phentermine Female spray viagra Tramadol hc Free viagra sample I need to find cheap phentermine delivered to fl Online pharmacy phentermine xenical meridia Compare phentermine prices Canada cialis generic? Xanax shipped cod No perscription xanax cheap Acquisto cialis Generic india viagra Buy cheap purchase uk viagra Viagra price Online phentermine pharmacy best cheapest Tramadol 50mg. Buy viagra online get prescription Addiction recovery xanax, Price for generic viagra Diet inexpensive phentermine pill Generic viagra canada No prescription phentermine Phentermine withdrawal symptoms Cheap viagra order online Cheapest viagra price Phentermine online doctor prescribed? Buy cialis uk Fast delivery phentermine, Keyword prescription qoclick tramadol without Tramadol dog Phentermine wholesale Snorting phentermine Discount phentermine online Tramadol online Cheap tramadol no prescription Cialis comparison levivia viagra Cheapest viagra online 92 accepted cod phentermine Cheap phentermine with online consultation Viagra alternatives uk Buy prescription tramadol without Buying viagra in the uk Xanax description Oxycontin xanax bars perclesept and lortab wha Generic viagra cialis Generic lowest price viagra Phentermine at cost with no prescription Picture of xanax pill Phentermine shortage Phentermine cheap free shipping Phentermine yellow 30 mg Addiction tramadol Tramadol hydrochloride tablet Phentermine cod delivery Online phentermine order Cyber pharmacy viagra Dangers of phentermine heart Buy cheap tramadol Xanax alcohol Cialis generic Tramadol prescription Free phentermine prescriptions 50 mg viagra Phentermine studies Viagra and levivia Phentermine feedback How long between phentermine and meridia Low cost phentermine Phentermine and topiramate for weightloss Tramadol hc Viagra overnight delivery Phentermine success stories Viagra cheap prescription Tramadol hydrochloride capsules Free shipping phentermine Diet pill addiction phentermine? Generic cialis soft tabs Side effects of xanax xr: Phentermine quick Buy xanax on line How long does xanax stay in the system Importing cialis from canada to us Buy cheap domain onlineatspacecom xanax Phentermine and diet pill

August 2005



Leo ndio ile Siku ya Blogu duniani. Wazo la kuwa na siku kama hii lilitoka kwa mwanablogu huyu hapa. Maelezo zaidi kuhusu siku hii yapo hapa kwa Kiswahili. Shukrani kwa Mawazo na Mawaidha aliyefanya tafsiri hiyo katika “wiki” maalum ya siku hiyo.

Siku hii wanablogu wanaopenda kushiriki wanachagua wanablogu watano ambao wanatoka katika tamaduni tofauti au wana mitazamo tofauti na yao.

Mimi nimechagua watu toka tamaduni tofauti. Sikupenda kutafuta watu kutokana na mitazamo yao. Wanablogu hao watano ndio hawa:

1. Mama wa Yousuf: Huyu ni mwandishi wa wa Kipalastina. Anaandika juu ya ulezi wa mwanaye na kazi ya uandishi katika nchi iliyokaliwa kwa nguvu na na Waisraeli. Kongoli hapa.

2. Jilltxt: Nimechagua blogu ya mwanataaluma, Jill, kutokana na blogu yake kuwa na viunganishi na habari nyingi kuhusu masuala ya uhusiano kati ya fasihi, taaluma, na blogu. Ninapenda watu wengi kufuatilia kwa undani juu ya mahusiano hayo. Ingawa toka apate kazi ya utawala, pamoja na kuendelea kufundisha, haandiki tena mara kwa mara, bado blogu yake ni benki ya taarifa nyingi na za kuelimisha. Kongoli hapa.

3. Blogu kuhusu uchaguzi wa wabunge Azerbaijan: blogu hii nimeichagua kutokana na ukweli kuwa wengi wa wasomaji wa blogu hii ni Watanzania na hivi sasa kampeni za uchaguzi zimepamba moto Tanzania. Nimetaka kuonyesha jinsi ambavyo teknolojia hii inarahisisha kazi ya upashaji habari za uchaguzi. Kita hapa.

4. Bwana Afigani: Hii ni blogu ya jamaa aliyeko Afghanistani. Nimemchagua huyu kutokana na shauku ya kutaka kujua wanablogu katika nchi kama Afghanistani wanafanya nini. Uzuri mwanablogu huyu anabandika picha hapa na pale, kwahiyo unaweza kuona hali ilivyo nchini humo. Kingita hapa.

5. Blogu ya kimbunga cha Katrina: Nimechagua blogu hii kwa nia ya kutaka kuonyesha jinsi ambavyo blogu zinaweza kutumika kutoa taarifa za haraka wakati wa maafa. Wakati wa maafa ya tsunami, blogu zilikuwa ndio chanzo kikuu cha habari na picha kwa haraka zaidi hata ya mashirika makubwa ya uongo (au habari kwa neno jingine) kama CNN. Nilikuwa natafiti wanablogu wanafanya nini kufuatia maafa yaliyoletwa na Katrina. Nenda hapa.

Katika nchi ambayo vyombo vya habari vinamilikiwa na serikali na vile vya binafsi vina mahusiano ya karibu na wakuu wa nchi, wanablogu wanaongoza sauti ya upinzani dhidi ya dikteta Hosni Mubarak wa Misri. Kuna habari hiyo hapa. Na mmoja wa wanablogu hao ni mwanamama huyu.

Nimemaliza kuandika habari fupi kuhusu wanablogu wa Tanzania wanaoandika kwa kiingereza, kiingereza na kiswahili, na wanasiasa wanaoanza kublogu. Habari hii iko kwenye blogu ya mradi wa Sauti za Dunia. Kongoli hapa uisome.

Kwanza kabisa toka jumapili iliyopita nimekuwa nasikiliza wimbo wa Fela uitwao Trouble Sleep Yange Wake Am. Nimekuwa naupiga na kuurudia masaa yote. Ngoma za Tony Allen na mdomo wa bata wa Fela siwezi kuelezea. Katika wimbo huu kuna sehemu anasema:
Rafiki yangu katoka jela majuzi
Anatafuta kazi
Anazunguka huku na kule usiku na mchana
Polisi wamemsimamisha na kumwambia
Bwana nakukamata kwa kosa la kuzurura!
Hata sasa ninavyoandika ninasikiliza wimbo huu. Nimemtaja Fela kwa nia ya kuwaambia wasomaji walioniuliza maswali kadhaa juu ya Fela kuwa nitawajibu.
************************************************************************
Kuna wanablogu wapya ambao ukipata muda watembelee na kuwakaribisha. Kwanza kabisa yuko ndugu Swai. Swai anajitambulisha kwa namna ya pekee. Huu ndio utambulisho wake:

Nimetulia ni mtaalamu wa mambo flani ya uchawi wa kizungu si unaelewa iweje transistor itoe sauti au picha ya mtu…upo hapo babake…ndio mambo yangu hayo.

Ninaishi Mbezi beach ndani ya heka kumi nimejenga Jumba la kufa mtu naishi humo na mwanangu mmoja na Chui wangu pamoja na walinzi kumi na mbili ndani na nje. Nina gari ndogo za kutembelea kumi ambazo ni Range rover new model ya mwaka huu, Benzi S 500 jeusi lina seat za leather nyekundu,Jeep jeupe kali,Valnuet V2500 black,Ford Fury 3000, Free lander, Land crueser VX V12, BMW new model na nyingine nyingi sizikumbuki. Ninamiliki makampuni kibao hapa mjini yenye mitaji ya kuanzia billioni 100 na kuendeleaYaani kwa kifupi nina pesa ya hatari. Nina utaratibu wa kutoa misaada kwa waitaji jaribu kuniona nikusaidie lakini msaada usizidi bilioni 50.

Huyo ndio Swai.
Mwanablogu mwingine anayeandika kwa kiingereza ni ndugu Peter John. Mtembelee hapa.

Mwanablogu toka Israeli, Nir Ofir, ndiye aliyetoa wazo la tarehe 31 mwezi wa nane kuwa ni siku ya blogu duniani. Wazo hili lilimjia pale alipotambua kuwa tarehe 31 Agosti ikiandikwa hivi “3108″ inaweza kusomeka kama neno “blog.” Halafu anasema kuwa amegundua kuwa ingawa mtandao wa kompyuta umeelezewa kuwa utasaidia kuifanya dunia kuwa kijiji, hali halisi inaonyesha kuwa (akitumia mfano wa wanablogu) kuwa wanablogu wanasoma wanablogu wale wenye mawazo kama yao au waliotoka katika nchi zao. Hata viunganishi tunavyoweka kwenye blogu ni vile vya wanablogu wenye mawazo au mitazamo kama yetu.

Basi akaona kuna haja ya kuwa na Siku ya Blogu Duniani. Na ndio hiyo tarehe 31 mwezi ujao. Katika siku hiyo unachotakiwa kufanya ni kuwatambulisha wanablogu watano ambao wametoka katika utamaduni tofauti na wako na pia wana mitazamo tofauti na yako.

Mradi wa Sauti ya Dunia unazungumzia pia siku hiyo.

Nawasihi wale wanaoweza washiriki.


Mwanablogu Ethan anajadili kwenye blogu yake masuala ya blogu na lugha. Anagusia blogu zisizo za kiingereza kama blogu za Kiswahili na changamoto waliyonayo wanablogu wanaotumia lugha zaidi ya moja kama Msangi. Ethan msome hapa. Mwanzoni mwa mjadala huu anaongelea mambo ambayo yanaweza yasikuvutie, endelea tu hadi katikati na kisha umalize.

Kama unadhani unaifahamu Afrika vizuri, jaribu mchezo huu wa jamaa wa SchoolNet. Jaribu zoezi gumu kuliko yote.

Kwanini haiwezekani?
Wananiambia kuwa haiwezekani.
Kwanini?
Eti wananiambia kuwa haiwezekani ukawa hauko CCM na ukawa hauko upinzani.
Haiwezekani.
Lazima uwe na upande.
Lazima uwe kushoto au kulia.
Ukiikosoa CCM, wanakuja juu na kusema, “Wewe unashabikia upinzani.”
Ukikosoa upinzani, wanakuja juu, “Umetumwa na CCM.”
Ukikosoa upinzani na CCM kwa pamoja wanabaki na maswali.

Wananiambia, “Haiwezekani!”
Nawauliza, “Kwanini?”
Kwani lazima kuwa na upande?
Wananiambia lazima nichague shetani mwenye afadhali.
Lazima nitafute mwivi na muongo mwenye afadhali.
Lazima nichague shetani mmoja kati ya wawili.

Kwanini kuwe na ulazima huo?
Naendelea kuuliza.
Embe bovu pande zote. Lazima nilile?
Mimi sitaki shetani wa upande wa kuume,
Wala shetani wa kushoto.
Shetani mwenye afadhali au shetani asiyefaa kabisa
Bado ni shetani.

Inawezekana.

Muda mrefu sijaongea kirefu kuhusu masuala mbalimbali ya kusafisha fikra zetu. Soma. Kama nimekugusa pabaya, hiyo sio nia yangu.
***************************************************************************
Haiwezekani!
Waakujia juu, “Haiwezekani!”
Haiwezekani. Kivipi.
Hawatakubali. Mishipa itawatoka.
Maswali watakurushia. Mate yatakurukia.
Utashangaa, iweje hawaelewi jambo rahisi namna hii?
“Haiwezekani mtu asiwe na dini!” Watakwambia huku wakijiweka tayari kwa ubishi.
Ubishi.
Wanabisha jambo linalohusu nafsi na imani yako.
Wewe unawaambia kuwa nafsini mwako huamini kitu kinachoitwa dini. Huna dini, sio muislamu wala mkristo (maana dini kwao ni hizi mbili tu).
Wanakataa. Haiwezekani. Kila binadamu ana dini.
“Hawezekani kivipi wakati mimi ni binadamu na sina dini?” Unawauliza.
Wanajibu, “Acha kutuhadaa, kila binadamu ana dini. Ina maana huamini kuwa kuna mungu?”
Wakiuliza swali hili lazima nicheke kwanza.
Swali hilo hufuatwa na maswali mengine mawili:
“Sasa ina maana ukifa utazikwaje?”
Swali la pili, “Sasa ukifa utakwenda wapi?”
Mahesabu ya imani za watu hawa yako hivi (Idya, kama nimekosea mahesabu nisahihishe):
binadamu + dini = imani juu ya mungu (yaani mungu yupo)
binadamu - dini = mungu hayupo
Hawajui kuna tofauti kubwa sana kati ya dini na kumwamini mungu. Wakati wengi wetu tunadhani kuwa dini kazi yake ni kutufanya tumjue mungu, kumwamini na kumtii, ukweli ni kuwa dini nyingi zinatuwekea ukuta wa chuma usionekana ambao unatuzuia tusimjue mungu. Ukiwa hutaki kumjua mungu au unataka kudhani kuwa unamjua, nitakushauri uwe na dini.
Najua sentenso hiyo ya mwisho inaweza kukufanya ujiulize kama “zimenitoka” au bado “zipo.”
Dini inakufanya umjue mungu kupitia mawazo na mitazamo ya watu wengine (karibu wote ni wanaume) ambao wanavaa kanzu na majoho wakiongea kwa utaratibu ili uone kuwa wana tofauti sana na wewe na kuwa wana ukaribu na mungu. Wengine hudiriki kutuambia kuwa huongea na mungu. Ila ukiwaambia wakuite saa wanaongea naye ili usikilize au kushiriki, watakwambia kuwa kama huna roho safi huwezi kuongea naye. Lakini ninaposoma busara za Yeshua (Yesu/Isa) nakuta akisema kuwa mungu anatafuta wale waliopotea. Wale wasio na “roho safi.” Na ndio maana Yeshua alikuwa akishinda vijiweni na wacheza kamari na wachakaramu wengine. Miyahudi ikamjia juu, “He, wewe mbona unajumika na wenye dhambi?”
Unajua aliwajibu nini? Kasome kitabu unachoamini kuwa ndio ramani na dira yako hapa dunini ingawa kinakusanya vumbi sebuleni kwako ulikokiweka kama mapambo. Kila siku unahangaika na magazeti ya ushambenga lakini kitabu unachodai kimeandikwa na mungu mwenyewe hukisomi…
Turudi kwenye hoja ya msingi.
Kwahiyo unachojua kuhusu dini ni mawazo ya viongozi wa dini yako. Mawazo ya binadamu wengine kama wewe. Mawazo yao hayo ndio yanakuwa dira yako wewe ambaye una akili na uwezo wa kujitafutia ukweli mwenyewe. Viongozi hawa, wakati mwingine, kama hawajui jambo wanapenda kukwambia kuwa jambo hilo ni “fumbo takatifu.” Waulize kuhusu tungo ya utatu. Watakwambia hilo ni fumbo. Yaani mungu wako anakufumbia baadhi ya mambo. Hataki uyajue!
Dini inakufanya uwe mvivu. Hutasoma biblia au kurani kwasababu kuna viongozi wa dini yako ambao kazi yao ni kusoma vitabu hivyo na kukutafsiria mara moja kwa juma. Au wakati mwingine mara moja au mbili kwa mwaka iwapo wewe ni wale wanaoenda kanisani misa za usiku au siku ya krisimasi.
Dini inakufanya udhani kuwa kuna mashindano kati yako wewe mkristo wa kilutheri na mkristo wa kiangikana, au shahidi wa yehova dhidi ya mkatoliki, au mashindano kati ya muislamu wa sunni na yule wa shia, au mashindano kati ya muislamu na mkristo…mashindano ya kwenda mbinguni. Dini inakufanya uamini kuwa watu wote wasio na imani kama yako watakwenda unakoita motoni. Wewe na wenzako ndio mnajua hiyo njia nyembamba iliyozungukwa na malaika weupe (ndio malaika weupe, hakuna mweusi) wenye mavazi meupe ya kuelekea kwenye uzima wa milele. Pengine ndio maana tunajichubua ili tufanane na hao malaika.
Kuna watu ambao huniambia kuwa dini huleta amani. Hivi ina maana kule Rwanda kulipotokea mauaji ya halaiki Warwanda hawakuwa na dini? Au hakukuwa na dini nchini humo? Utashangaa kuwa kati ya watuhumiwa wa mauaji hayo wako viongozi wa dini. Je Sudan? Je Kashmir? Je Iraki? Hakuna dini huko? Serikali ya Marekani inayopenda vita kama sijui imechanjiwa au kulaaniwa inaongozwa na watu wasio na dini? Joji Kichaka anasema kila siku lazima asome biblia. Anadai kuwa amempokea bwana. Ameokoka kama vile mwinjilisti Kakobe.
Tuache nchi hizo, twende kule zilikozaliwa dini zinazoitwa “kuu” duniani: uislamu, ukristo, na uyahudi. Twende kule walikotokea manabii wa dini hizi. Kule walikotembea na kufundisha. Twende kule mnakotumia mamilioni ya fedha kwenda kuhiji. Twenda Mashariki ya Kati. Twende Palestina. Twende Yerusalemu. Huko karibu kila mtu ana dini. Kama sio mkristo, basi ni muislamu, kama sio muislamu basi ni myahudi.
Dini moja inafundisha amani na unyenyekevu (uislamu), nyingine upendo (ukristo) na nyingine kushika amri kumi. Twende huko tutazame jinsi ambavyo dini inaleta amani!
Nyooshea kidole nchi yenye amani kutokana na watu wake kuwa na dini. Tazama Indonesia, nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya waislamu, je inaoongoza pia kwa amani? Linganisha Uholanzi na Indonesia. Uholanzi ina watu wengi wasio na habari na masuala ya dini. Nchi hii ina sheria na sera za umma zinazopingana na imani na amri za “dini kuu.” Katika nchi hiyo ukahaba ni halali, kutoa mimba, kuvuta lile jani ambalo wakristo na waislamu wanaovuta sigara inayoua mamilioni hudai kuwa linakaa kichwani miaka saba, wagonjwa wanaruhusiwa kumaliza maisha yao iwapo wako katika mateso na hawapona, n.k.
Hivi ikatokea wananchi wa Indonesia ambao ni “wacha mungu” wakaruhusiwa kuhamia Uholanzi ambako kumejaa “makafiri” na sheria za “kikafiri” (kwa mujibu waumini wa kiislamu) unadhani watakubali au watakataa? Je watasema, “Mimi nabaki Indonesia nchi yenye baraka za mungu siwezi kwenda kuishi nchi ya makafiri.” Thubutu! Hakutakuwa na ndege za kutosha za kubeba Waindonesia wanaotaka kuhamia Uholanzi. Kwanini? Ningedhani kuwa nchi zenye wacha mungu (yaani waislamu, wakristo, na wayahudi wengi, ndio zingekuwa nchi zenye amani sana na ustawi. Ndio nchi ambazo watu wengi wangekuwa wanataka kwenda kuishi na pia kuiga mifano ya nchi hizo. Lakini wapi! Nchi ambazo watu wengi (ikiwa ni pamoja na wale wanaodai wana dini) wanataka kwenda kuishi na zenye amani ni zile ambazo hazina usongo na mambo ya dini hata kidogo.
Tazama Ufilipino, karibu kila mtu ni mkatoliki, waliobaki ni waislamu. Je wanaongoza kwa upendo aliohubiri Yesu na amani aliyohubiri Muhammad.?
Waislamu neno “amani” wamelifanya kabisa kuwa ni sehemu ya salamu. Asalaam Aleikum. Wayahudi nao neno amani wamefanya kuwa ni sehemu ya salamu. Wanasema: Shalom. Lakini tazama mahusiano ya makundi haya mawili na hizo salamu zao za “amani.”
Hivi na kule Kongo hawana dini? Makanisa yanajaa kila jumapili. Ila nchi imejaa damu.
Kwahiyo watu wengi wanaamini kuwa kama binadamu wasingekuwa na dini, wangekuwa watu wabaya na waovu sana. Mimi hujiuliza, binadamu anaweza kuwa mwovu zaidi ya alivyo sasa? Kuna uovu gani uliobakia? Au mnadhani yanayotokea Palestina, Iraki, Sudani, Kongo, yaliyotokea Rwanda, Cambodia, Vietnam, Aghanistan, Ujerumani ya Hitler ni hadithi? Maovu makubwa kabisa kwenye historia tunayoijua yametokea katika kipindi ambacho wanadamu wana hiki kitu mnaiita dini.
Biashara ya utumwa ya Atlantiki miaka zaidi ya 400. Ile ya waarabu ilichukua miaka mingi zaidi maana ilianza kabla hii ya Atlantiki. Mauaji ya wayahudi na Hitler. Bomu la atomiki huko Japani. Ubaguzi wa rangi Marekani na Afrika Kusini. Vita vya Wazungu vya Kwanza na vya Pili (vilihusisha waasia pia kama Japani). Mauaji ya halaiki Rwanda. Ukoloni. Yote haya yamefanyika katika kipindi ambacho wanadamu wengi wanasema kuwa wana dini.
Hivi wezi wanaoiba sirikalini na wengine kuuza nchi hawana dini? Wananchi wenye hasira kali wanaoua binadamu wenzao bila huruma kwa kuwa wamedaiwa kuwa wezi, hawana dini? Wala rushwa na wana magendo, hawana dini?
Najua moja ya hoja inayotolewa ninaposema mambo haya ni hii, “Vita na maovu hayo hayajaletwa na dini.” Nakubaliana kwa kiasi fulani. Nasema kwa kiasi fulani kwakuwa historia iko wazi juu ya maovu yaliyoletwa na dini. Ila hata kama maovu hayo hayakuletwa na dini, tunaweza kujiuliza: kama dini inaleta amani iweje mambo hayo yote yanayoharibu amani yatokee? Nikikwambia unipe mfano wa amani iliyoletwa na dini itakuwa kazi ngumu sana kuliko nikikutaka unipe mfano wa maafa yaliyoletwa na dini. Mifano ya dini kuharibu amani na hata tamaduni za jamii mbalimbali imejaa.
Tukichimba zaidi hoja hii tunaweza kwenda kwenye hoja nyingine ambayo sitaiingilia kwa undani. Hoja hiyo ni kuwa huenda watu “wenye dini” ukweli ni kuwa “hawana dini.”
Kwa upande mwingine unapochunguza sana kitu tunachoita dini unagundua kuwa dini ni pazia.N Nikizungumzia Waafrika nitasema kuwa dini inakuzuia usimjue mungu wako wala manabii zako.
Hivi wewe na akili zako zote unadhani Afrika nzima haijawahi kuwa na manabii? Kweli jamaa wametupata. Unadhani kabisa manabii wote duniani hakuna aliyetoka miongoni mwa watu wako. Unadhani kabisa bara zima la Afrika halina sehemu takatifu za kuhiji hadi uende Roma au Yerusalemu. Au Makka kwenda kubusu jiwe na kumpiga shetani kwa mawe. Kijijini kwenu pale yako maeneo ya kuhiji lakini kwa jinsi walivyoteka fikra zako hutakaa ujue.

Halafu unajua mtu ukiwa Mwafrika huna haja ya dini hata kidogo. Dini utakuwa nayo pale atakapotokea mtu kuja kukwambia kuwa utamaduni wako haufai. Ukweli ni kuwa tamaduni zetu zinatupa mwongozo kwa kila jambo, yakiwemo masuala ya kiroho na kiimani. Wewe unaweza kuyaita dini. Kwahiyo uafrika una misingi na falsafa yake kuhusu mungu ambaye unaweza kumwamini bila kuwa na dini. Falsafa na miongozo kuhusu mungu iliyoko katika utamaduni wa Mwafrika, kwa mtazamo wangu, vinatosheleza. Hakuna kitu kipya ambacho uislamu, ukristo au uyahudi unaweza kunifundisha. Kwanza amri kumi ambazo ni msingi wa dini hizi zinazoonekana kuwa ni “bora” zaidi ya nyingine zilikuwa Afrika miaka mingi kabla Musa, aliyesema kuwa kapewa mlimani na yehova, hajazaliwa. Ngoja nirudie ili usidhani nimekosea: NINASEMA KUWA AMRI KUMI “ZA MUSA” ZILIKUWEPO AFRIKA KABLA MUSA HAJAZALIWA!
Soma historia.
Sio ile historia unayodanganywa shuleni na walimu waliodanganywa kama wewe mashuleni na vyuo vya ualimu. Tafuta historia yetu. Sijui wewe ulikwenda shule gani, ila shule nilizokwenda mimi asilimia zaidi ya 90 ya historia niliyofundishwa ilikuwa ni uongo mtupu.
Wakati dini yako inakupa amri isemayo, “Mpende jirani yako kama nafsi yako,” utamaduni wa Afrika unakupa falsafa hii: Mtu sio mtu bila watu (Kwa Ki-Xhosa, “Umtu Ngumtu Ngabantu). Kwa maneno mengine tunaambiwa tupendane. Falasafa hiyo ndio inakupa itikadi ya ujamaa, falsafa ya harambee, n.k. Marasta wao wanakuja na dhana kama hiyo wanaposema, “I and I.” (Bada ya kusema “mimi na wewe,” marasta husema, “Mimi na mimi.” Kwa kiingereza, “I and I.”)
Unadhani kanuni ya mtu sio mtu bila watu imetoka kwa shetani?
Je nimekugusa pabaya?
Kuna tuzo kadhaa zinazohusu waandishi walioko barani Afrika. Tarehe ya mwisho kuingia katika kinyanganyiro cha tuzo hizi sio mbali. Kwahiyo, hima!
Kwanza kabisa Tume ya Uchumi ya Afrika inakaribisha waandishi kuingia katika mchuano wa Africa Information Society Initiative Media Awards. Kongoli hapa. Halafu jamaa wa GKP wakishirikiana na Panos-London wanatoa tuzo kwa mwandishi atakayetoa kazi nzuri inayoendana na mada hii: Where is the money for bridging the digital divide?”


Labda ningekuwa mgombea urais wa maisha ningetumiwa shahada nyumbani. Mtafiti kanitumia habari hii. Isome mwenyewe.

BBC wana habari kuhusu mwanablogu wa Nigeria, Ekine, anayeishi nchini Uhispania. Isome hapa.


Kuna dada yetu wa Zimbabwe na mumewe muingereza wanafundisha Kishona na tamaduni za Zimbabwe kwa kutumia teknolojia ya podikasiti. Kongoli hapa.

Jamaa wa Balancing Act wana makala kuhusu ziara ya Andy Carvin, , mkurugenzi wa Digital Divide Network nchini Ghana na matumizi ya teknolojia za blogu na podikasiti barani Afrika. Isome hapa.

Ndugu yangu, usije ukabaki kujua tu habari za Waarabu na Wayahudi. Nenda hapa ujifunze mawili, matatu.

Mashindano ya kimataifa ya madevu yanafanyika mwezi wa kumi mwaka huu. Kama Osama na Mullah Omari (yule kiongozi wa Talibani mwenye jicho moja) wanakwenda itabidi nisiende maana najua sitaweza kuwashinda. Nitamuuliza Maalim Seif wa CUF kama ana mpango wa kwenda. Nakumbuka wakati Salimin Amour (nimesahau kumwita, Dakta) akiwa rais wa Zanzibar walikuwa wakirushiana madongo na Maalim Seif. Basi Salmin akamwambia Seif akanyoe kwanza madevu kabla ya kuanza kuota kuwa rais wa Zanziba. Maalim Seif akajibu mapigo akasema, “Kwetu wasio na ndefu makazi yao ni jikoni sio ikulu kuongoza nchi!”

Nimemaliza kuongeza blogu mpya katika orodha ya blogu za Tanzania katika ukurasa wa Wiki wa mradi wa Sauti za Dunia (Global Voices). Tazama orodha hiyo hapa.

Nadhani mwanablogu Idya wa Pambazuko alipokutana na Ethan kwenye mlo wa jioni na pia warsha ya masuala ya blogu wakati alipokuwa (Ethan) kwenye ziara Afrika Kusini ndipo alipoamua rasmi kuwa atablogu pia kwa kiingereza. Ameanza tayari. Mtembelee hapa. Na Ethan ametoa maoni yake hapa kuhusu Idya kublogu kwa kimombo.


Mwaka 2002 serikali za Tanzania na Ufini zilianzisha majadiliano yenye nia ya kufanya wimbi wa utandawazi (yaani utandawizi) kuendana na misingi ya demokrasia (domoghasia au mkumbokrasia kama anayoita Idya). Majadiliano hayo yanaendelea mwezi ujao huko Ufini katika jiji la Helsinki ambapo Rais wa Tanzania wa sasa na ajaye watahudhuria. Nenda hapa.
Teknolojia ya habari na mawasiliano inabadili mambo kila kukicha. Kwa mfano, ile dhana mpya ya “uandishi wa umma” imepanuka. Dhana hii kwa kifupi ni kuwa kutokana na ugunduzi wa zana mpya za habari na mawasiliano, uandishi wa habari umekuwa sio tu kazi ya “waandishi wa habari” bali kila mwananchi mwenye jambo la kusema, kuhoji, kutaarifu, n.k. Sasa hata upigaji picha za kwenye magazeti sio kazi ya wapiga picha waliobobea. Mtu yeyote anaweza kuwa mwandishi wa picha na hata akatengeneza senti. Hata wewe ukitaka unaweza kutengeneza noti kama una jicho la picha. Kongoli hapa.
Mabadiliko mengine ni yale yanayotokea katika gazeti moja kule Seattle ambapo maoni ya mhariri hayaandikiwi tu na wahariri bali yanaandikwa kwa ushirikiano kati ya wahariri na wasomaji. Nenda hapa.

Next Page »