NEWS: Discount viagra europe Discount phentermine prescription Discount viagra perscription drug Order phentermine on line? 92 accepted cod phentermine Compare viagra prices, Pharmacy online phentermine Purchase tramadol online. Phentermine sites that ship cash on delivery Viagra retail discount Home made viagra Valium vs xanax Xanax no prescription Viagra sales online Erection viagra Free viagra without prescription Phentermine fda Xanax withdrawl Effects phentermine side strong Information viagra woman What does phentermine do to your heart Long term phentermine use Viagra testimony Phentermine very cheap Buying phentermine Cialis pill? Discount online phentermine Buy cheap phentermine yellow Tramadol hcl tab Phentermine hydrochloride ship to missouri: Buy viagra prescription online Compare phentermine prices Cialis compare levitra viagra Picture of generic xanax Tramadol uses Recreational viagra use Generic india viagra Cheap viagra generic Cialis drug Natural phentermine Phentermine cheapest price 5 no perscription! Cialis and pomegranate interaction Viagra for woman? Ionamin phentermine Cheapest xanax online! Xanax drug interactions Buy cod phentermine Phentermine online Methadone and xanax Recreational viagra Viagra online sales Mexican phentermine Cod tramadol! Phentermine mexican pharmacies online Phentermine pictures Cheap phentermine without a prescription Compare viagra cialis levitra. Xanax master card Long term effects of xanax, Viagra cialis levitra comparison dosages Does viagra woman work 5 in round white tablets no imprint code 50 mg viagra Phentermine shipped cod Phentermine for less Viagra information Phentermine free consultation? Viagra kaufen Is tramadol a narcotic Cheap quality viagra Phentermine and topiramate for weightloss Diet loss phentermine pill weight Diet phentermine pill sale Kevin harvick viagra Xanax withdrawls Purchase viagra online Cialis new viagra. Viagra for woman information Online ordering viagra Viagra prescription uk Buying phentermine: Can i take xanax with zocor and procardia Phentermine overnight Does viagra work Low natural resources for the drug phentermine Viagra treatment migraine headache Buy in online uk viagra, Apcalis cialis 180 phentermine Black market costa rica pharmacy phentermine no imprint code Buying tramadol online Loss phentermine story success weight How much weight will you lose on phentermine Online xanax prescription Cialis compared to viagra Paxil with phentermine interactions Xanax addiction treatment. 0 buy by popl powered viagra wordpress Cheap tramadol 180 Viagra in woman Lethal doses of klonopin and xanax Stopping xanax Cialis overnight! Phentermine and urine drug screen Smoking xanax: Ingredient phentermine Saturday delivery phentermine Viagra prescription medication Free cialis 25 mg Viagra uses Xanax detoxification Viagra pictures Pfizer viagra online Online adipex phentermine prescriptions. Side effects of tramadol hydrochloride On line prescription viagra 100 phentermine Female spray viagra Tramadol hc Free viagra sample I need to find cheap phentermine delivered to fl Online pharmacy phentermine xenical meridia Compare phentermine prices Canada cialis generic? Xanax shipped cod No perscription xanax cheap Acquisto cialis Generic india viagra Buy cheap purchase uk viagra Viagra price Online phentermine pharmacy best cheapest Tramadol 50mg. Buy viagra online get prescription Addiction recovery xanax, Price for generic viagra Diet inexpensive phentermine pill Generic viagra canada No prescription phentermine Phentermine withdrawal symptoms Cheap viagra order online Cheapest viagra price Phentermine online doctor prescribed? Buy cialis uk Fast delivery phentermine, Keyword prescription qoclick tramadol without Tramadol dog Phentermine wholesale Snorting phentermine Discount phentermine online Tramadol online Cheap tramadol no prescription Cialis comparison levivia viagra Cheapest viagra online 92 accepted cod phentermine Cheap phentermine with online consultation Viagra alternatives uk Buy prescription tramadol without Buying viagra in the uk Xanax description Oxycontin xanax bars perclesept and lortab wha Generic viagra cialis Generic lowest price viagra Phentermine at cost with no prescription Picture of xanax pill Phentermine shortage Phentermine cheap free shipping Phentermine yellow 30 mg Addiction tramadol Tramadol hydrochloride tablet Phentermine cod delivery Online phentermine order Cyber pharmacy viagra Dangers of phentermine heart Buy cheap tramadol Xanax alcohol Cialis generic Tramadol prescription Free phentermine prescriptions 50 mg viagra Phentermine studies Viagra and levivia Phentermine feedback How long between phentermine and meridia Low cost phentermine Phentermine and topiramate for weightloss Tramadol hc Viagra overnight delivery Phentermine success stories Viagra cheap prescription Tramadol hydrochloride capsules Free shipping phentermine Diet pill addiction phentermine? Generic cialis soft tabs Side effects of xanax xr: Phentermine quick Buy xanax on line How long does xanax stay in the system Importing cialis from canada to us Buy cheap domain onlineatspacecom xanax Phentermine and diet pill

October 2006


Tumefanya majadiliano mafupi na ndugu Deus Gunza wa Redio Butiama (inayopatikana kila jumapili). Tumejadili masuala ya blogu, wikipedia, lugha ya Kiswahili, mradi wa Global Voices na mengineyo. Bonyeza hapa usikilize.

Kura kwa ajili ya Tuzo za Blogu Bora (Best of Blogs Awards) inayoendeshwa na jamaa wa redio ya Deutsche Welle zimeanza kupigwa. Zimebaki wiki mbili kabla jopo la majaji kutangaza washindi. Mwaka huu kuna wanablogu wawili wa Afrika ambao wako katika mchuano. Tafadhali wapigie kura (nawapigia kampeni ingawa sigawi fulana, khanga, wala pilau!). Mwanablogu wa kwanza ni Sokari Ekine wa blogu ya Black Looks. Blogu yake iko katika mchuano wa blogu bora za kiingereza. Sokari alikuwa ni mhariri wa kwanza wa Afrika, Kusini Mwa Jangwa la Sahara wa Global Voices Online. Huandika kuhusu blogu za Afrika, Blogging Africa, katika jarida la mtandaoni la Pambazuka. Sokari anatoka Nigeria na anaishi Hispania. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)
(more…)

Siku za nyuma niliandika kuhusu tabia ya vyombo vya habari na watu wengine kudhani kuwa kazi za wanablogu zinaweza kuchukuliwachukuliwa tu hivihivi kienyejienyeji. Kama ulipitwa na habari hiyo iliyohusu tovuti ya DarHotwire ya Tanzania na blogu ya mapishi ya MiRecipe, bonyeza hapa usome. Sasa wiki hii limetokea tukio jingine linaloonyesha kuwa vyombo vikubwa vya habari na uongo bado havijaamka na kujua nguvu za mapinduzi ya teknolojia ya blogu na hivyo kuwapa wanablogu heshima inayostahili. Gazeti la Kenya la Kenya Times limebeba makala iliyoandikwa na mwandishi wa blogu ya Kikuyumoja’s Realm na kuibandika kwenye gazeti hilo bila kuonyesha utamaduni wa ustaarabu wa vyombo vya habari, yaani kuwasiliana na mwenye blogu hiyo. Wameibeba makala nzima nzima wakaibandika kwenye gazeti hilo. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)
(more…)

Mradi wa Global Voices, ambao madhumuni yake ni kuwezesha na kuzipa nguvu sauti za wanablogu duniani (nje ya Marekani na Ulaya Magharibi), unakaribisha wanablogu kwenye mkutano wake wa kila mwaka. Mkutano wa mwaka huu utafanyika mwezi Desemba kule New Delhi, India. Bonyeza hapa usome habari hii.

Joshua Wolf ni mwanablogu ambaye hivi sasa yuko jela huko Dublin, California. Ni mwanablogu wa kwanza nchini Marekani kunusa lupango kutokana na kublogu. Namba yake jela ni 98005-111. Kwanini mwanablogu Joshua anakula ugali na maji ya maharagwe? Bonyeza hapa usome kisa chenyewe. Bonyeza hapa utazame filamu fupi kuhusu kisa hicho. Blogu yake, The Revolution Will Be Televised, bado inaendelea. Anayeandika katika blogu hiyo hivi sasa ni mama yake, Liz. Mama yake imebidi awe mwanablogu ili kuendeleza harakati za kumsaidia mwanaye. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)

(more…)

Majuzi kulikuwa na mjadala mkali kwenye blogu za majirani zetu wa Kenya. Mjadala huu ambao umegusa masuala mbalimbali kuhusu wajibu wa kijamii na uhuru wa kujieleza, ulitokana na kuondolewa kwa blogu moja toka kwenye kikusanya habari cha jumuiya ya wanablogu wa Kenya. Nimeandika muhtasari wa mjadala huo (kichwa chake cha habari ni hicho hapo juu) ambao unazua masuala mbalimbali ambayo ni muhimu sana kujadiliwa na wanablogu na kuwekwa wazi, hasa suala la uhuru wa kujieleza ambalo naona umuhimu wa kuliandika hapo baadaye. Nadhani maneno “uhuru wa kujieleza” au “uhuru wa maoni” yanaweza kutumiwa kama vile ni ufunguo wa kumpa mtu haki kusema lolote lile bila kujali wajibu wa kijamii, hisia za watu, utamaduni, n.k. Bonyeza hapa usome muhtasari huo (kwa lugha yao) ulioko kwenye tovuti ya Global Voices Online.

Baada ya kuandika kuhusu mkutano wa wanablogu niliohudhuria wa Converge South 2006 (bonyeza hapa kuhusu mkutano huo), mwanablogu Ras Luihamu aliuliza kwanini wanablogu wa Afrika tusiwe na mkutano wetu? Akaandika:
“Kwanini inkuwa vigumu sisi wanablogu kutoka Africa kuwa na mkutano wetu hapahapa Africa?”
Akaandika zaidi:
“Mzee Ndesanjo nasi tungependa tuwe na mkutano wa wana blogu kutoka Africa hapa hapa Afrika kwa sababu tunaweza kujifunza mambo mengi sana,nadhani hatuhitaji wadhamini kwani lengo letu ni kukutana kisha kuzungumzia kazi zetu.Nemeandika mara kwa mara kuhusu hili jambo lakini naona kimya hakuna anae support.Kwa nini? May be no one cares or its none of i and i business.”

(more…)

Wanablogu wengi walihudhuria mkutano wa Converge South 2006 (bonyeza hapa na hapa usome niliyoandika huko nyuma kuhusu mkutano huu) wakiwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mke wa aliyekuwa mgombea mwenza wa John Kerry katika uchaguzi wa Marekani, John Edwards, mwanaharakati wa mtandaoni Elizabeth Edwards. John Edwards tunaambiwa kuwa atagombea urais katika uchaguzi ujao. Yohana na Eliza wote ni wanablogu, bonyeza hapa uone blogu ya Yohana na hapa utaona ya Eliza. Eliza alikuwa akiongelea juu ya ujenzi wa jumuiya za mtandaoni. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii).

(more…)

Kama mtoto wa mjusi ni mjusi, je mtoto wa mwanablogu naye ni mwanablogu? Kama baba ambaye ni rika la wale watu waitwao, wahamiaji digitali, (yaani mambo ya teknolojia wameyakuta ukubwani), ni mwanablogu, je mtoto ambaye ni kizazi kiitwacho, wazawa digitali, (yaani toka wanazaliwa wamezungukwa na hizi teknolojia) ataepuka kuwa mwanablogu? Na tena anapoanza kuhudhuria mkutano wa wanablogu na kuwa ni mhudhuriaji mdogo kuliko wote…Basi bonyeza hapa umtazame (kwa hisani ya Ed Cone) mwanablogu mdogo kuliko wote aliyehudhuria mkutano wa Converge South 2006. Na jamaa wa PayperPost (bonyeza hapa uone picha ya mshika bango lao) ndio waliogharamia maakuli katika mkutano huu. Nia ya biashara yao ni kuwawezesha wanablogu kulipwa kutokana na kublogu. Michoro iliyoko kwenye daftari liloko mezani (kwenye picha hii) ni ya sayari, nyota, na rekoti (kwa mujibu wa mchoraji!).

Nahudhuria mkutano wa kila mwaka uitwao Converge South 2006. Sio ajabu kuwa mkutano huu unafanyika katika jiji la Greensboro, Marekani kwani jiji hili linajulikana kama “Blogsboro.” Jina hili linatokana na kuwepo kwa jumuiya kubwa ya wanablogu katika jiji hili (wanafunzi, walimu, wanasiasa, waandishi, n.k. wana blogu zao). Wakazi wengi wasio na blogu ni wasomaji wakubwa wa blogu au wanafahamu blogu ni kitu gani. Nilihudhuriza mkutano wa Converge South mwaka jana. Ukibonyeza hapa unaweza kuona baadhi ya mambo niliyoandika. Bonyeza hapa uende kwenye tovuti ya mkutano huu unaoshirikisha wanablogu mbalimbali toka jiji la “Blogsboro” na nje ya jiji hili. Bonyeza hapa uone waongozaji wa mijadala mbalimbali inayoendelea.

Ukipata wasaa sikiliza majadiliano kuhusu blogu yatakayonishirikisha mimi na Sreenath Sreenivasan. Sreenivasan ni mshauri wa wanafunzi Kitivo cha Uandishi wa Habari katika chuo kikuu cha Columbia. Majadiliano hayo yatakuwa katika redio ya KALW San Francisco Public Radio, San Francisco. Kwa saa za San Francisco (Pasifiki) itakuwa ni saa nne asubuhi ambapo itakuwa saa mbili usiku nchini Tanzania. Kwa nchi nyingine bonyeza hapa utumie tovuti hiyo kutazama itakuwa saa ngapi. Bonyeza hapa uende kwenye tovuti ya kipindi hicho ambapo utaweza kusikiliza majadiliano hayo moja kwa moja. Ukifika hapo, tazama upande wa kulia panaposema, Webcast: Listen to the Show Online. Au bonyeza hapa.

Mijadala mikali inayofanya baadhi yetu kukunja ndita na kutoa mishipa ya paji la uso inaendelea katika blogu za Waafrika. Hili, nionavyo mimi, si jambo baya. Mijadala hii hukuza fikra zetu, hutupa changamoto katika mitazamo yetu, hutufunza kuvumulia watu wenye mawazo tofauti nasi, hutufunza jinsi ya kuendesha mijadala, na pi kutuelimisha kuhusu mambo mbalimbali yanayojadiliwa. Sidhani kama blogu zinatakiwa ziwe ni viwanja vya “zidumu fikra.” Ndio maana baadhi ya wanablogu wamewahi kusema kuwa sio vyema tukawa kila wakati tunakubaliana. Tukubaliane kama tunakubaliana kwa dhati ila sio kwa woga wa kupingana.

(more…)

Nyongeza: baada ya kusema kuwa mimi sio Rasta (soma niliyoandika hapo chini), mwanablogu mpya wa Tanzania, Rasta Luihamu, ameamua kuacha kublogu. Hapa naihitaji msaada kidogo. Sijaelewa kwanini aache kublogu baada ya mimi kusema sio Rasta. Tangazo lake la kutuaga hili hapa. Mimi namshauri aendelee kutumia uwanja ule kuwasialiana, na hasa kutoa elimu kuhusu Urasta ambao watu wengi hawauelewi.

=====

Wakati ambapo nimegundua kuwa tunahitaji somo kuhusu kitu kiitwacho “ugomvi” (maana inaelekea watu wamezoe ugomvi kiasi ambacho mahali hakuna ugomvi wanachukulia kuwa kuna ugomvi. Au inawezekana watu wamezoe sana ile tabia ya “zidumu fikra” na “ndio mzee” kiasi ambacho vitu kama kitimoto, majadiliano, na mabishano ya kimtazamo na kifikra vinakuwa kama vile ni ugomvi), kuna mwanablogu ananiambia kuwa iweje mimi Rasta nipende ugomvi? Anajiuliza kama mimi ni Rasta wa kweli au ni wale ambao Burning Spear anawaita “Rasta Business.” Kwa maneno yake Luihamu (bonyeza hapa usome aliyoandika): “I wonder if Mzee Ndesanjo you are a true Rasta or you are a rasta business.” (malizia habari hii kwa kubinya hapo chini).
(more…)

Vikusanya habari (aggregators) ni moja ya zile teknolojia ninazoziita, teknolojia za kutunza muda na gharama. Niliwahi kuandika huko nyuma juu ya teknolojia hizi, bonyeza hapa, , hapa
na hapa. Sasa vikusanya habari vinatunza muda kwa kutuwezesha kujua blogu zipi zimeandika mambo mapya badala ya kutembelea blogu moja moja. Inawezekana pia ukatumia vikusanya habari kupata habari toka kwenye tovuti za habari na sio blogu peke yake. Basi kuna kikusanya habari cha blogu zilizo katika jumuiya ya Kenya Unlimited, bonyeza hapa, kuna blogu za wanawake wa Afrika, bonyeza hapa uende kwenye kikusanya habari chao, halafu kuna kikusanya habari cha blogu za Wanigeria, bonyeza hapa. Halafu kuna tovuti ya Muti ambayo ni kama vile ilivyo tovuti ya Reddit au Digg, hii ni tovuti ambayo inakupa habari motomoto ambazo zimetoka kwa wasomaji au watumiaji wa tovuti ya Muti. Wao ndio wanaamua habari ipi ipewe kipaumbele, na sio “mhariri mkuu.” Niliandika huko nyuma juu ya mfumo huu mpya wa habari, bonyeza hapa. Nenda tovuti ya Muti kwa kubinya hapa.

**Nakubaliana na mtoa maoni kuwa pengine kurudia lile tusi kwa rais wetu ni kutonesha kidonda, hivyo nimebadili. Shukrani kwa ushauri wako.

Haya. Tunaendelea. Baada ya kuandika habari ile ya Kikwete kuitwa “Dumb bitch” na Watanzania kuambiwa eti ni Maimuna (bonyeza hapa na hapa kama hujasoma habari hiyo), ndugu Acolyte ambaye ndiye aliyeandika habari hiyo alitoa maoni kwenye blogu hii na kwake na kwa wengine. Pamoja na kuwa amekubali kuwa alifanya kosa kutumia lugha hiyo, kuna mambo fulani ameongelea ambayo sina budi kutumia nafasi hii kumwelewesha.

Kwanza kabisa anatoa hoja ya kuwa nilichelewa sana kumjibu. Anasema, “Saa hizi kwangu hiyo kisa ni maji chini ya daraja, yani nimeyasahau na sishuguliki nayo tena. Lakini blogu ni yako andika vile unataka ingawa umechelewa sana kunijibu.” Jibu langu ni kuwa hakuna sababu ya kutupangia muda wa kumjibu. Inawezekana hatuheshimu Watanzania kiasi ambacho anatoa shutuma juu yetu kisha anatupangia kuwa tumjibu katika ndani ya wiki moja? Inanikumbusha Mrema na enzi za “siku saba.” (bonyeza hapo chini umalize kusoma somo hili)

(more…)

Muda mfupi ujao nitapandisha sehemu ya pili ya mada iliyotokana na aliyoandika mwanablogu wa Kenya, Acolyte. Sehemu ya kwanza kama hujaisoma, bonyeza hapa. Bonyeza hapa usome sehemu ndogo ya sehemu hiyo ya kwanza. Kwa sasa nilitaka kutaarifu wanaofuatilia suala hili kuwa makala niliyoandika kujibu shutuma za Aco (kama anavyoita na marafiki zake) haiko tu kwenye blogu bali pia kwenye gazeti la Mwananchi la jumapili iliyopita. Niliambiwa eti niache hili suala maana habari hii itatoka magazetini. Imeshatoka tayari! Bonyeza hapa uione. Sehemu hii ya pili niliyoikalia hivi sasa itajibu baadhi ya maswali na hoja alizouliza na anazoendelea kutoa katika blogu mbalimbali na pia kumalizia hoja nilizokuwa nashusha katika sehemu ile ya kwanza. Kwa wale wanaosema kuwa eti mambo yamekwisha napenda kuwaambia kuwa elimu haina mwisho. Makala hizi sio za kushambulia mtu binafsi. Ni makala za kujadili masuala. Ingekuwa ni mashambulio kwa mtu binafsi basi ningekubali kuwa kuna haja ya kuacha, lakini kinachojadiliwa hapa ni masuala.

Mwishoni mwa mwezi uliopita niliandika kuhusu kitendo cha tovuti ya DarHotwire kutumia kazi ya mwanablogu wa Tanzania bila hisani yake na bila kuonyesha waziwazi chanzo cha kazi hiyo. Iwapo hukusoma habari hiyo, bonyeza hapa. Tovuti hiyo imeondoa ukurasa ule uliokuwa hauonyeshi chanzo cha habari hiyo na kuweka ukurasa ambao unaonyesha kazi hiyo inatoka kwa nani. Naelewa kumekuwa na mawasiliano kati ya tovuti hiyo na mwenye blogu ya MiRecipe na muafaka umefikiwa. Ukurasa ulioondolewa ni huu hapa na ukurasa mpya wenye kueleza chanzo cha kazi hiyo uko hapa. (bonyeza hapo chini umalize habari hii)

(more…)

Ni kweli kuwa ndugu yetu Acolyte ameondoa ile habari aliyoandika akimtukana Rais wa Tanzania. Sielewi kwanini ameiondoa kama anaamini kwenye yote aliyoandika. Sasa ameandika kuhusu jambo hili akiuliza kwanini nimemzungumzia yeye peke yake wakati Wakenya wengi walizungumzia hilo jambo. Amesema pia kama kuna mtu aliyekerwa na aliyoyasema, basi mtu huyo angemwandikia waraka pepe akimtaka aondoe hiyo habari. Yaani yeye habari ameiweka kwenye blogu kila mtu asome, lakini sisi tumwandikie waraka pepe binafsi badala ya kutumia chombo kile kile alichotumia yeye, yaani blogu. Kwanini?

(more…)

Majuzi kulitokea tukio ambalo limeleta kizazaa fulani kwenye duru za kidiplomasia. Kizazaa hicho kimeonyesha pia sura halisi ya mwanablogu mmoja wa Kenya. Rais wa Tanzania, ndugu Jakaya Kikwete, alipokuwa nchini Marekani, inasemekana kuwa alijadili suala la “hali mbaya ya kisiasa” nchini Kenya na rais wa Marekani, mpenda vita na mwizi wa kura na mwenyekiti wa Marais waongo duniani, Joji Kichaka. Mmoja wa wanablogu wa Kenya mwenye blogu ya My Part of the World aliposikia habari hizo akaandika mambo kadhaa ambayo yalinishtua kidogo. Bonyeza hapa usome aliyoandika. Nina wanablogu wa Kenya wengi ambao ni marafiki zangu, na Wakenya wengine ambao sio wanablogu ambao nao ni marafiki zangu. Sio marafiki zangu tu, bali pia wana utu na ustaarabu. Urafiki wangu na upenzi wa blogu za Wakenya ndio umenifanya kuwa mwanachama wa jumuiya ya wanablogu wa Kenya, Kenya Unlimited. Tena blogu za Wakenya kama vile Kenyan Pundit ndio zilizonichochea nikaanza kublogu. (bonyeza hapo chini umalize makala hii).

(more…)

J. Nambiza Tungaraza wa blogu ya Mwandani ameandika muhtasari wa mambo yaliyojiri kwenye blogu za Kiswahili kwenye blogu ya mradi wa Global Voices. Pamoja na kublogu kwa Kiswahili kwenye blogu ya Mwandani, Tungaraza atakuwa akiandika kwa “lugha yao” kwenye blogu ya Global Voices. Hii ni heshima kubwa kwa blogu zetu kuona mwanablogu mwenzetu akitoa mchango wake sio tu kwenye kumbi zetu bali pia kwenye blogu inayojaribu kujenga majadiliano kimataifa na kuwahabarisha wale wasiojua Kiswahili ni mambo gani wanablogu wa Kiswahili wanazungumzia. Kama hufahamu vizuri nia na madhumuni ya Global Voices, bonyeza hapa. Kisha soma muhtasari huo wa Tungaraza kwa kubonyeza hapa.

Next Page »