NEWS: Discount viagra europe Discount phentermine prescription Discount viagra perscription drug Order phentermine on line? 92 accepted cod phentermine Compare viagra prices, Pharmacy online phentermine Purchase tramadol online. Phentermine sites that ship cash on delivery Viagra retail discount Home made viagra Valium vs xanax Xanax no prescription Viagra sales online Erection viagra Free viagra without prescription Phentermine fda Xanax withdrawl Effects phentermine side strong Information viagra woman What does phentermine do to your heart Long term phentermine use Viagra testimony Phentermine very cheap Buying phentermine Cialis pill? Discount online phentermine Buy cheap phentermine yellow Tramadol hcl tab Phentermine hydrochloride ship to missouri: Buy viagra prescription online Compare phentermine prices Cialis compare levitra viagra Picture of generic xanax Tramadol uses Recreational viagra use Generic india viagra Cheap viagra generic Cialis drug Natural phentermine Phentermine cheapest price 5 no perscription! Cialis and pomegranate interaction Viagra for woman? Ionamin phentermine Cheapest xanax online! Xanax drug interactions Buy cod phentermine Phentermine online Methadone and xanax Recreational viagra Viagra online sales Mexican phentermine Cod tramadol! Phentermine mexican pharmacies online Phentermine pictures Cheap phentermine without a prescription Compare viagra cialis levitra. Xanax master card Long term effects of xanax, Viagra cialis levitra comparison dosages Does viagra woman work 5 in round white tablets no imprint code 50 mg viagra Phentermine shipped cod Phentermine for less Viagra information Phentermine free consultation? Viagra kaufen Is tramadol a narcotic Cheap quality viagra Phentermine and topiramate for weightloss Diet loss phentermine pill weight Diet phentermine pill sale Kevin harvick viagra Xanax withdrawls Purchase viagra online Cialis new viagra. Viagra for woman information Online ordering viagra Viagra prescription uk Buying phentermine: Can i take xanax with zocor and procardia Phentermine overnight Does viagra work Low natural resources for the drug phentermine Viagra treatment migraine headache Buy in online uk viagra, Apcalis cialis 180 phentermine Black market costa rica pharmacy phentermine no imprint code Buying tramadol online Loss phentermine story success weight How much weight will you lose on phentermine Online xanax prescription Cialis compared to viagra Paxil with phentermine interactions Xanax addiction treatment. 0 buy by popl powered viagra wordpress Cheap tramadol 180 Viagra in woman Lethal doses of klonopin and xanax Stopping xanax Cialis overnight! Phentermine and urine drug screen Smoking xanax: Ingredient phentermine Saturday delivery phentermine Viagra prescription medication Free cialis 25 mg Viagra uses Xanax detoxification Viagra pictures Pfizer viagra online Online adipex phentermine prescriptions. Side effects of tramadol hydrochloride On line prescription viagra 100 phentermine Female spray viagra Tramadol hc Free viagra sample I need to find cheap phentermine delivered to fl Online pharmacy phentermine xenical meridia Compare phentermine prices Canada cialis generic? Xanax shipped cod No perscription xanax cheap Acquisto cialis Generic india viagra Buy cheap purchase uk viagra Viagra price Online phentermine pharmacy best cheapest Tramadol 50mg. Buy viagra online get prescription Addiction recovery xanax, Price for generic viagra Diet inexpensive phentermine pill Generic viagra canada No prescription phentermine Phentermine withdrawal symptoms Cheap viagra order online Cheapest viagra price Phentermine online doctor prescribed? Buy cialis uk Fast delivery phentermine, Keyword prescription qoclick tramadol without Tramadol dog Phentermine wholesale Snorting phentermine Discount phentermine online Tramadol online Cheap tramadol no prescription Cialis comparison levivia viagra Cheapest viagra online 92 accepted cod phentermine Cheap phentermine with online consultation Viagra alternatives uk Buy prescription tramadol without Buying viagra in the uk Xanax description Oxycontin xanax bars perclesept and lortab wha Generic viagra cialis Generic lowest price viagra Phentermine at cost with no prescription Picture of xanax pill Phentermine shortage Phentermine cheap free shipping Phentermine yellow 30 mg Addiction tramadol Tramadol hydrochloride tablet Phentermine cod delivery Online phentermine order Cyber pharmacy viagra Dangers of phentermine heart Buy cheap tramadol Xanax alcohol Cialis generic Tramadol prescription Free phentermine prescriptions 50 mg viagra Phentermine studies Viagra and levivia Phentermine feedback How long between phentermine and meridia Low cost phentermine Phentermine and topiramate for weightloss Tramadol hc Viagra overnight delivery Phentermine success stories Viagra cheap prescription Tramadol hydrochloride capsules Free shipping phentermine Diet pill addiction phentermine? Generic cialis soft tabs Side effects of xanax xr: Phentermine quick Buy xanax on line How long does xanax stay in the system Importing cialis from canada to us Buy cheap domain onlineatspacecom xanax Phentermine and diet pill

November 2006


SAMAHANI BLOGU HII ILIPOTEA KIDOGO BILA TAARIFA. kULIKUWA NA UKARABATI KIDOGO. SASA IMERUDI.

Simon Kitururu wa Chakula cha Mawazo ameanza kusukuma gurudumu la kujenga jumuiya yetu. Ametoa mawazo yake juu ya mambo ambayo hayakutolewa maamuzi siku ile ya mkutano wa wanablogu wa Tanzania. Pamoja na kuwa wana kamati itabidi wawasiliane na kila mwanablogu, utaratibu huu aliouanzisha Kitururu wa kutumia blogu yake kuchangia katika mjadala kuhusu jumuiya yetu ni mzuri. Ninaamini kuwa wanablogu wengine wenye nia ya kujumuika kujenga jumuiya rasmi ya wanablogu wa Tanzania watatumia blogu zao kujadili masuala ambayo tunatakiwa kuyapatia ufumbuzi. (bonyeza hapo chini umalize kusoma)

(more…)

Huenda usiwe na muda wa kutosha kufuatilia habari hii maana mwisho wa maombi ni Desemba 1 (kama nimeelewa ujumbe vizuri). Hizi ni nafasi za kusoma nchini Norway. Bonyeza hapa usome ujumbe kuhusu nafasi hizo toka kwa ndugu Kweka. Ukiwa na maswali zaidi unaweza kuwasiliana naye kupitia anuani hii: ekweka2001@yahoo.co.uk

Jamaa wa Geekcorps jamani…kwanza walikuja na antena kwa ajili ya mtandao usiwaya (WiFi) inayotengenezwa kwa kutumia chupa za maji kule Mali. Sasa wamekuja na mradi wanauita “Luninga ya Kopo” (CanTV). Yaani wanatumia makopo kutengeneza antenna ambazo wanavijiji wanatumia kupata matangazo ya luninga! Bonyeza hapa usome habari hii niliyoiandika katika blogu ya Pop!Tech.

**Usisahau kumpigia Jeff kura. Leo ni mwisho wa raundi ya kwanza. Bonyeza hapa. Matokeo ya mchuano ni haya.

———–

Maneno hayo hapo chini toka kwa msimamizi wa mkutano, Msangi Mdogo, ndio yaliyofungua mkutano wetu rasmi:

NA SASA NAFUNGUA KIKAO RASMI KWA KUWAKARIBISHA NYOTE MLIOBAHATIKA KUHUDHURIA MKUTANO HUU WA KWANZA NA WA AINA YAKE KATIKA HISTORIA YA NCHI YETU. KWA WALE WALIOKO NYUMBANI TANZANIA ULIPEWA NAFASI KIDOGO KATIKA GAZETI LA MAJIRA LEO

KUNA DAKIKA MBILI KABLA YA MKUTANO KUANZA RASMI, NAOMBA TUJIPANGE KWENYE NAFASI ZETU TAYARI KWA MKUTANO

Baada ya hapo mkutano ulianza na kuendelea vyema hadi mwisho. Kuna wajumbe ambao walipata tatizo la kuingia ukumbini, nawapa pole. Naamini mkutano ujao utaboreshwa zaidi. Shukrani zimwendelee ndugu Mike Mushi “Mzee wa Mlango wa Uani” ambaye aliweza kubomoa ukuta na kuweka mlango wa uani uliowawezesha wajumbe waliokuwa na matatizo ya kuingia waweze kuingia kupitia mlango huo. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)

(more…)

Kichwa cha habari hapo juu ni kichwa cha makala niliyoandika kuhusu mkutano wetu (ambao nikiufikiria ninasisimka) ambayo imetoka leo kwenye gazeti la Mwananchi. Wiki ijayo nitaandika kwenye gazeti hilo mambo ya msingi yaliyoamuliwa. Ninapitia mkutano mzima ili niweze kutoa muhtasari wake kwenu nyote. Bonyeza hapa usome makala hiyo. Habari za mkutano wetu zimeandikwa pia kwenye ukurasa wa Global Voices Online. Shukrani Nambiza Tungaraza kwa kuandika habari hiyo. Bonyeza hapa uisome.

Gazeti la The Economist lina habari kuhusu wanablogu walioacha kazi na hivi sasa blogu zao ndio zinawaingizia mkono kinywani. **Usije ukaacha kazi baada ya kusoma habari hii!**

Utaona mmoja wao anasema kuwa ilimchukua miaka mitano ya kukesha hadi kufikia hatua ya kutumia blogu yake kupata kipato. Bonyeza hapa usome habari hii. (bonyeza hapo chini uendelee kusoma)

(more…)

Mkutano ndio umemalizika. Wanaondoka wajumbe mmoja mmoja. Wengine wamebaki kwenye mazungumzo baada ya kikao. Baadhi ya wajumbe walipata matatizo kuingia ukumbini. Nawapa pole. Wakati mwingine tutajitahidi kufanikisha zaidi. Asante Mushi kwa kuokoa jahazi na kuwezesha waliokuwa na matatizo kuingia ukumbini. Muhtasari wa yaliyoongelewa na kukubaliwa utaupata. Ni furaha ilioje. Asanteni wote mliohudhuria.

Ukumbi wa mkutano umeanza kuwa kama ukumbi wa mkutano. Gumzo kabla ya habari linaendelea. Nilitaka kusema mawili matatu. Ningependa sana tutumie muda wetu vyema. Hivyo kila mshiriki ajitahidi kuwa ndani ya mada. Kwa baadhi yetu hili linaweza kuwa jambo gumu. Tujitahidi sana kuwa ndani ya mada.

Tafadhali unapoingia ndani ya mkutano tumia jina lako ili tufahamu wewe ni nani. Inawezekana ukatoa wazo ambalo linahitaji kufanyiwa kazi. Hivyo tukahitaji kukufuata kujua “nyuma” unayotaka tujenge iwe ni ya mabati au vigae. Kama ni vigae, viwe vya rangi gani? Au tuezeke nyasi? Kwahiyo kuna umuhimu wa kufahamu nani anasema nini.

Iwapo wewe hujulikani kwa wanablogu, basi jitambulishe wakati wa kuingia. Unaweza kusema, “Mimi ni fulani bin fulani. Ni msomaji wa blogu.” Au, “Mimi ni fulani fulani, ninataka kuanza kublogu.” Kitu kama hicho.

Unaposhiriki, jua kuwa kila kitakachosemwa kitahifadhiwa na baadhi ya wanablogu wanaweza kuweka kwenye blogu zao. Iwapo unasema jambo ambalo hungependa lihifadhiwe, na una sababu za msingi, basi sema hivyo.

Naamini kuwa tutaendesha mkutano kwa heshima na busara. Bonyeza hapa kuingia ukumbini.

Yanakaribia kuwa! Ninavyoandika sentensi hizi, tayari kuna watu ukumbini. Nimekutana pale na ndugu Mike Mushi wa Habari Tanzania na Richard Mushi wa blogu hii hapa. Tayari kamkutano fulani fulani hivi kameanza. Usishtuke. Saa ya mkutano bado. Ni gumzo za hapa na pale. Mazungumzo kabla ya habari. Kama hujui nazungumzia mkutano gani. Bonyeza hapa.

Nitaandika tena kabla ya mkutano…usiondoke. Kuna mambo mawili matatu muhimu.

Wakati tunahesabu masaa kabla ya ule mkutano wetu wa wanablogu na wapenzi wa blogu wa Tanzania, nimepata habari njema zinazohusu blogu ya mwenzetu. Blogu ya kimombo ya Jeff Msangi imeteuliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za blogu bora nchini Kanada (2006 Canadian Blog Award). Blogu hiyo, African Perpective, iko katika kundi la blogu bora za Kitamaduni (Best Cultural Blog). Bonyeza hapa umpigie kura (shuka chini kwenye orodha ya “best cultural blog). Bonyeza hapa usome blogu yake ya African Perpective.

Haya, mkutano wetu ndio huo. Kuna maelezo ya hatua kwa hatua ya jinsi ya kuingia kwenye chumba cha mkutano. Maelezo hayo yako kwenye ukurasa maalum wa wiki wa mkutano wetu. Bonyeza hapa. Tafadhali sana fuata maelezo hayo hatua kwa hatua, la sivyo utabaki nje ya ukumbi ukipiga soga na wapita njia. Kwa taarifa yako kutakuwa na chai, kalimati, sambusa, vitumbua, kashata na mapochopocho mengine ya Kitanzania kwa hisani ya Miriam! Shauri yako! (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)

(more…)

Kura zimepigwa kutafuta saa ya mkutano wa wanablogu na wapenzi wa blogu wa Tanzania. Mkutano utafanyika saa nane mchana saa za Tanzania, Novemba 18, 2006. Wapiga kura waliochagua saa nane mchana wameshinda. Hakuna masanduku ya kura yaliyoibwa wala kura zilizoharibika. Wala hakuna pingamizi lolote. Mrema angeshiriki pengine tungekuwa tunaelekea mahakamani hivi sasa! Maandalizi ya mkutano yanaendelea katika ukurasa wa wiki ambao utaupata kwa kubonyeza hapa. Tafadhali shiriki kwenye maandalizi. Ukipata tatizo la jinsi ya kuweka maoni yako kwenye ukurasa wa maandalizi ya mkutano, bonyeza hapa usome maelezo mafupi. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)

(more…)

Leo ndio mwisho wa kupiga kura kuchagua saa ambayo mkutano wa kwanza wa wanablogu wa Tanzania utafanyika kama alivyoeleza Jeff Msangi. Kwahiyo inabidi wasimamizi wa uchaguzi wasilale kabisa kuhakikisha kuwa masanduku ya kura hayaibiwi! Zaidi kuhusu mkutano huu msome Jeff:hapa na hapa, na Egidio: hapa na hapa. Bonyeza hapa upige kura yako. Bonyeza hapa ushiriki kupanga ajenda za mkutano. Ni muhimu sana kwa wale wote wanaotaka kushiriki kutoa mawazo yao juu ya mambo ya msingi ya kujadili na pia muda wa mkutano wenyewe. (bonyeza hapo chini umalize kusoma ukurasa huu).

(more…)

Katika majadiliano na Jeff, imeonekana kuwa sio vyema tukasubiri hadi siku ya mkutano bila kuwa na ajenda. (Kama hujui nazungumzia mkutano gani bonyeza hapa na hapa). Tunaweza kupoteza muda mwingi kwa kuzungumzia mambo ya kila aina. Tukaenda huku na kule na kurudi huku. Bila kichwa wala…niseme mkia? (binadamu tuna mikia?). Haya, bila kichwa wala miguu. Basi ili kutunza muda siku hiyo tafadhali shiriki kujadili ajenda za kujadiliwa, mkutano ufanyike kwa muda gani (saa moja? moja u nusu, masaa mawili?, n.k.). Kama alivyosema Jeff, hakuna sababu za watu fulani kuandaa ajenda kwa ajili ya watu wengine. Tunatakiwa kuanza kujenda utamaduni wa demokrasia ya ushirikishwaji. Hivyo tunapaswa wote kushiriki kuamua ajenda za kujadiliwa. Ili ushikiri, bonyeza hapa, uende kwenye ukurasa wa wiki ambao utaweza kushirikiana na wengine kupanga ajenda za siku hiyo. Maelezo ya jinsi ya kutumia ukurasa wa wiki sio magumu: ukitaka kubadili, kuhariri, au kuongeza jambo, bonyeza panaposema “edit” juu ya kipengele ambacho unataka kukifanyia kazi. Kwahiyo ukitaka kuweka jambo kwenye kipengele cha ajenda, bonyeza “edit” juu ya neno “ajenda.” Kisha andika, halafu bonyeza pale chini panaposema, “save page.”

**Muhimu: ukitaka kuweka jambo kwenye ukurasa wa wiki, bonyeza panaposema “edit” JUU ya hicho kipengele. Usibonyeze “edit” popote pale. Kila kipengele kina neno hili “edit” upande wa juu kulia. Ukipata tatizo usisite kuuliza.

Nia kubwa ya makampuni ya kibiashara ni kuzalisha faida. Lakini, je makampuni haya yana wajibu wowote kwa jamii? Dhana inayoelekea kupata nguvu sana siku hizi iitwayo “corporate social responsibility” inaelezea wajibu wa kijamii ambao makampuni yanapaswa kuwa nao. Baada ya mjadala kuhusu Umoja wa Mataifa (mwanamuziki Fela Kuti alikuwa akiuita umoja huu: Dis-United United Nations!) mwezi wa tisa mwaka huu, shirika la habari la Uingereza, Reuters, litaendesha mjadala mwingine leo kuhusu hii dhana ya uwajibikaji wa kijamii kwa makampuni ya kibiashara. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii)
(more…)

Hivi ukiandika hadithi kwa kiingereza na Kiswahili kwa wakati mmoja itakuwaje? Msome mwanablogu wa Tanzania Sandra Mushi upate jibu. Bonyeza hapa.

—-

Jeff ameandika zaidi kuhusu ule mkutano wa wanablogu na wapenzi wa blogu wa Tanzania. Bonyeza hapa usome nyongeza yake, bonyeza hapa usome akiwasilisha hoja na kuelezea juu ya umuhimu wa kukutana, na bonyeza hapa usome niliyoandika kuhusu jinsi ya kupanga siku na saa za kukutana na mahali tutakapokutania.

Samahani, taarifa hii inakuja kukiwa kumebaki siku moja! Lakini taratibu za kuomba hazina mambo mengi hivyo unaweza kutumia saa moja hivi kuweza kutuma maombi yako. Skolashipu hii ni ya kujumuika na watu wengine wanaotazama kwa undani masuala ya teknolojia, vyombo vya habari na vile vya uongo, na jamii. Huu ni mkutano wa tatu wa kila mwaka wa We Media. Mkutano wa kwanza ulifanyika kule Yoku Mpya (New York) ambapo nilipata nafasi ya kuhudhuria. Bonyeza hapa, hapa, hapa na hapa usome niliyoandika kuhusu mkutano huo wa New Cork. Mwaka huu mkutano ulihamia Uingereza. Bonyeza hapa usome niliyoandika kuhusu mkutano wa mwaka huu. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii).

(more…)

Sina neno la kuongeza kuelezea kwanini wanablogu wa Tanzania tunahitaji kukutana. Jeff Msangi ameelezea vizuri na baadhi ya wanablogu tayari wametoa maoni kuunga mkono hoja yake. Namshukuru kwa jitihada zake za kutaka tukutane, mtandaoni kwa hivi sasa, wakati tukisubiri siku ambayo tutakaa meza moja, kula, na kucheka pamoja. Kama hujamsoma Jeff akitoa wazo la mkutano huu, bonyeza hapa.

Sasa ili kufanikisha mkutano wenyewe, kuna mambo mawili tunatakiwa kufanya. Jambo la kwanza ni kukubaliana kuhusu siku na saa. Kutokana na ukweli kuwa tumetapakaa katika nchi mbalimbali na hivyo masaa yanatofautiana, inatupasa kuchagua saa kwa makini sana. Kibinafsi ningependa sana tutilie mkazo hali halisi ya wenzetu walioko nyumbani. Kwa mfano, ni rahisi kwa walio Ughaibuni kushikiri kwenye mkutano huu usiku wa manane au matisa kuliko wenzetu walioko Tanzania. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii).

(more…)