Unaweza pia kunipata kwenye TwitPic. Picha na safari. Safari na picha. Hapa. Hata wewe unaweza kutumia huduma hii. Ni bure!
January 2009
Fri 16 Jan 2009
Fri 16 Jan 2009
Nampenda, nampenda,
Nani?
Msichana mmoja,
Nani?
Mzuri, mzuri
Nani?
Ni mwanablogu,
Nani?
Ana mashairi matamu,
Nani?
Na Kiswahili fasaha…
Nani?
Thu 15 Jan 2009
Tovuti Mpya Inatafuta Vijana wa Kuajiri Afrika
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: blogu , nafasi za kaziToa Maoni [1]
Tovuti mpya ya mradi wa Advocates for Youth iitwayo “Amplify Your Voices” inatafuta waandishi toka Afrika kwa ajili ya kublogu kwenye tovuti hiyo. Hivi sasa inatafuta mwandishi mwanamke ambaye ana umri kati ya miaka 15 - 24. Mwanablogu huyo atakuwa akilipwa dola za Kimarekani 100 na anapaswa kublogu kama mara sita kwa mwezi.
Bonyeza hapa kwa maelezo ya jinsi ya kutuma maombi.
We are a project of Advocates for Youth, and our blog is an interactive community whose content comes directly from young people, tackling society’s screwed up approach to sexual health. We are currently hiring a team of front page bloggers for our site, and are down to one position left. We are hoping to find a talented young woman from Africa who might be interested in this position, as
sexual and reproductive health is such an issue for young women on the continent.



