Ule mjadala mkali kuhusu wanaohudhuria na walioalikwa kwenye mkutano wa Digital Citizen Indaba unaendelea. Niliandika kuhusu mjadala huu mkali kiasi cha kutoa cheche za moto katika sehemu mbili. Bofya hapa usome sehemu ya kwanza na hapa usome sehemu ya pili. Usiache kusoma maoni ya wasomaji katika blogu ninazokupa zenye mjadala huo.


Sasa msome mwanablogu Mwanachi (Yote ni Yangu, Nchi!) anayesema, “Indaba This, Indaba That.” Bonyeza hapa. Kisha nenda kwa Alexcia anayesema: Digital “Indaba” Controversy. Bonyeza hapa.
Halafu nenda kwa Meskel Square anayesema “Fair Cop.” Bofya hapa. Na Sokari Ekina kupitia blogu ya Black Looks anamjibu Andrew Heavens wa Meskel Square akisema, “On Being Tiresome.” Bofya hapa.