Iwapo wewe ni msomaji wa blogu ya mradi wa Global Voices (kama wewe sio msomaji basi utafute muda uwe unaisoma), tafadhali chukua dakika chache ujibu maswali ambayo yatasaidia kuboresha mradi huu. Bonyeza hapa usome namna ya kushiriki kujibu maswali hayo. Fomu yenyewe yenye maswali utaipata ukibonyeza hapa. Lakini ni vyema ukasome kwanza yaliyoandikwa kwenye kiungo hiki kabla ya kujibu maswali yenyewe.