Mon 18 Sep 2006
Ni furaha iliyoje kwa wanablogu wanaojihusisha au kufaidika na kazi za mradi wa Global Voices. Mradi huu umepata tuzo kubwa kwa ubunifu na utendaji kazi mahiri. Tuzo hiyo ya the Knight-Batten Awards for Innovations in Journalism ilikuwa ikigombewa pia na jamaa wengine sita. Bonyeza hapa utaona orodha ya jamaa hao wengine na pia ukishuka chini kabisa utaona washindi wa mwaka jana. Mradi huu ambao bado ni mbichi kabisa ulishinda huko nyuma tuzo ya Best of Blogs, bonyeza hapa kama ulipitiwa.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1274' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date