Thu 2 Nov 2006
Samahani, taarifa hii inakuja kukiwa kumebaki siku moja! Lakini taratibu za kuomba hazina mambo mengi hivyo unaweza kutumia saa moja hivi kuweza kutuma maombi yako. Skolashipu hii ni ya kujumuika na watu wengine wanaotazama kwa undani masuala ya teknolojia, vyombo vya habari na vile vya uongo, na jamii. Huu ni mkutano wa tatu wa kila mwaka wa We Media. Mkutano wa kwanza ulifanyika kule Yoku Mpya (New York) ambapo nilipata nafasi ya kuhudhuria. Bonyeza hapa, hapa, hapa na hapa usome niliyoandika kuhusu mkutano huo wa New Cork. Mwaka huu mkutano ulihamia Uingereza. Bonyeza hapa usome niliyoandika kuhusu mkutano wa mwaka huu. (bonyeza hapo chini umalize kusoma habari hii).
Mwaka huu mkutano huu utafanyika kule Miami. Hivyo ukiwa na bahati, kama una tabia ya kuoga na magadi, unaweza kupata skolashipu ya kuhudhuria. Unachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo ninayobandika hapo chini. Bonyeza hapa kwa tovuti ya mkutano huu. Na hapa kuna hayo maelezo ya kuomba skolashipu, au soma hapo chini. Siku ya mwisho ni ijumaa tarehe 3, 2006!
Maelezo:
To apply for a fellowship, send an e-mail to gloria@ifocos.org, with:
I. “We Media Fellowship Application” in the subject line.
II. Your name, title, organizational affiliation and contact information at the top.
III. A statement of no more than 500 words that includes:
1) What does “community” mean to you in a connected world?
2) How might communications and digital media services be used or improved to enhance real, physical communities?
2) What do you hope to get out of attending?
Applicants who do not conform to the above requirements will NOT be considered. And I mean it this time.
Applicants are solely responsible for acquiring the proper travel documents to enter the United States. iFOCOS does not provide support or assistance for travel visas and other immigration issues.
The deadline for fellowship applications is 12 noon Eastern Time (US - 5 GMT), Friday, November 3, 2006.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1302' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date