Kipindi cha BBC cha Newsnight kina filamu kuhusu mapinduzi ya simu za mkono nchini Kenya, Kenya’s Mobile Revolution. Filamu hii inaongozwa na Paul Mason.

Hivi ndivyo Newsnight isemavyo:

Mobile phones in Africa are helping to provide better services, economic growth and even democratic rights. Paul Mason reports from Kenya on how technology has stepped in where governments and aid agencies have failed.

Bonyeza hapa uitazame. Au hapa. Filamu hii licha ya kupatikana webuni itarushwa kwenye BBC Two, Geek Week 2.0, 2230GMT, siku ya jumatatu tarehe nane.
—–

Juzi niliandika kuhusu iReport na pia niliwahi kuandika kwenye mwongozo juu ya Scoopt (ambapo wapiga picha wanaweza kuuza picha zao). Yahoo! nao wana mradi uitwao You Witness News ambapo wanakutaka uwatumie picha na video ili wazitumie kwenye habari zao. Tazama hapa.