Sun 25 Mar 2007
Wakati dunia inakumbuka kupitishwa kwa sheria ya kupiga marufuku biashara ya utumwa na bunge la Uingereza miaka 200 iliyopita, ningependa utazame video ya Rasta Babu Burning Spear akikuuliza, “Do you remember the days of slavery?” kwenye wimbo wake wa Slavery Days.
And how they beat us
And how they worked us so hard
And how they used us
Till they refuse us
Do you remember the days of slav’ry?
Bonyeza hapa utazame video ya wimbo huo. Na hapa utaona maneno ya wimbo wenyewe. Spear pia ana blogu. Blogu yake utaipata hapa.
Unaweza pia kusoma niliyoandika baada ya kuhudhuria onyesha lake mwaka jana. Bonyeza hapa.
——
Tukiwa kwenye suala hili hili la biashara ya utumwa: Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana alirekodi video alipotembelea Zanzibar hivi karibuni na kuipandisha kwenye tovuti ya YouTube katika kuadhimisha miaka 200 toka kupitishwa kwa sheria ya kupinga biashara ya utumwa. Bonyeza hapa utazame video hiyo.
—–
Je kuhusu utumwa tunaouendeleza majumbani mwetu? Bonyeza hapa ujue ninazungumzia utumwa upi.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1430' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date