Mon 9 Jul 2007
Soma Mahojiano ya Jeff Msangi Global Voices Online
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , wanablogu , afrikaNambiza Tungaraza amefanya mahojiano mazuri sana na mwanablogu mwenzetu, Jeff Msangi. Jeff, pamoja na mambo mengine, anazungumzia uhusiano wa blogu na maendeleo ya jamii. Bonyeza hapa usome mahojiano yenyewe. Baada ya mahojiano hayo kutolewa, Christian wa blogu ya Web2forDev ametoa habari iliyotokana na mahojiano ya Jeff. Habari yenyewe inasema: “Tanzania - an example of the vibrant African blogosphere.” Bonyeza hapa uisome.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1515' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date