David Ajao katupatia makala moja ya kuchekesha (ingawa ina ujumbe ambao sio wa kuchekesha) toka GhanaWeb kuhusu Ghana. Nimeisoma nikaona kuwa makala hii unaweza kubadilisha neno “Ghana” na neno la karibu nchi zote za Afrika. Kwa mfano, inasema:

1. A Ghanaian minister earns $600-a-month, buys three houses for $200,000 each and three cars for $20,000 each, sends his kid to a $10,000-per-year university in the US, pays $20,000 to be allowed to contest for the presidential nomination of his party and his bank balance is still in the black. With such an ‘economic genius’, I wonder why we are still begging for food aid?

Eti tuwaulize viongozi wetu hiyo siri ya dola 600 kwa mwezi kuzaa mamilioni ni ipi? Kwanini isitumiwe kwenye maendeleo ya taifa?

Makala hiyo inaendelea:

6. Our president and his predecessor cannot unite, yet we have the guts to chair and expect success from an African Union summit to unite 51 African countries. Unity begins at home!
10. We the people of Ghana are being told that, the president’s son who could not raise $1,000 in 2000 for his father’s campaign was able to raise $8million three years later, to buy a hotel? No wonder 1+1 is equal to 3 in Ghana.