Wed 1 Aug 2007
Tanzania: Lessons On Building a Virtual Blogging Community
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , blogu , wanablogu , tanzaniaManeno hayo hapo juu ni kichwa cha habari cha makala inayoelezea jinsi ambavyo wanablogu wa Tanzania walivyoweza kushirikiana kuunda Jumuwata. Shughuli tuliyofanya ni ya aina yake katika ulimwengu wa blogu: kuunda jumuiya kupitia mtandao (kufanya mkutano, kupiga kura, kuchagua nembo, n.k.). Makala hii nimeiandika kwenye tovuti ya Global Voices Online. Sehemu ya makala hiyo inasema:
How do you build a democratic blogging community made up of members living in different parts of the world? The Tanzanian experience in building its formal organization, Jumuwata, offers important practical and theoretical lessons to bloggers and citizen media activitsts on how to build a collaborative and democratic blogging community online.
Bonyeza hapa usome makala nzima. Au bonyeza hapa kama lugha hii unaielewa.
Haya, njiani kwenda kwenye Wikimania 2007. Hodi, hodi Taipei, Taiwan.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1557' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date