Tue 19 Feb 2008
Baiskeli Zinazotengenezwa Kwa Mianzi + Grassroots Reporting Project
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , blogu , afrikaUkipata nafasi uwe unatembelea blogu ya AfriGadget. Kila ninapozungumza juu ya blogu Afrika lazima niitumie kama mfano mzuri sana wa jinsi blogu zinaripoti habari ambazo huwa zinatokea kwa nadra sana kwenye vyombo vya habari vya jadi. Au blogu zenye kuripoti mambo ya msingi katika maendeleo ya Afrika. AfriGadget inaonyesha ubunifu na “uanasayansi” unaoendelea Afrika. Soma habari hii kuhusu baiskeli zinazotengenezwa kwa kutumia mianzi! Soma pia na habari nyingine kwenye blogu hiyo.
AfriGadget imeanzisha mradi unaokuhitaji. Unaitwa The Grassroots Reporting Project.
One of our goals at AfriGadget is to find more stories of African ingenuity. The Grassroots Reporting Project is our plan to find, equip and train more AfriGadget reporters in the field throughout Africa…A combination of mobile phones and computers will be assigned to individuals in 10 African countries for the purpose of getting more on-the-ground reporting of stories of African ingenuity to the world. An AfriGadget editor will be in charge of identifying the best candidates for inclusion in the program. This editor will also travel to each country to train and equip the new AfriGadget reporters for the program.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1631' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date