Mon 21 Apr 2008
The Truth According To Wikipedia
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , filamu , wikipedia , webu 2.0Mwezi uliopita nilishiriki kwenye mahojiano ya dokumentari kuhusu Wikipedia na dhana ya ukweli pale kwenye chuo kikuu cha Western Cape, Cape Town. Dokumentari yenyewe imetolewa hivi sasa na inapatikana YouTube. Inaitwa The Truth According To Wikipedia. Inajadili mahusiano ya dhana ya ukweli na kamusi elezo ya mtandaoni, Wikipedia ambayo kila mtu anaweza kushiriki kuiandika. Walioiandaa ni Televisheni ya Uholanzi, VPRO Backlight.
Jamaa wa The Next Web wanaandika hivi kuhusu dokumentari hii na majina ya waliohojiwa:
On The Next Web we’ll show the premiere of a documentary that takes a better look at Wikipedia. Backlight plunges into the story behind Wikipedia. Is it a revolution, or pure hype?…Van Veelen managed to get some interesting and authoritative people for his camera. Of course the before mentioned Jimmy Wales, Larry Sanger (the since-fired co-founder of Wikipedia, now head of Wiki spin-off Citizendium), the infamous Andrew Keen (author of The Cult of the Amateur: How Today’s Internet Is Killing Our Culture and Assaulting Our Economy), Phoebe Ayers (a Wikipedian in California), Ndesanjo Macha (Swahili Wikipedia, digital activist), Tim O’Reilly (CEO of O’Reilly Media, the “inventor” of Web 2.0), Charles Leadbeater (philosopher and author of We Think, about crowdsourcing), and Robert McHenry (former editor-in-chief of Encyclopedia Britannica).
Bonyeza hapa utazame dokumentari hii.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1646' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date