Wed 21 May 2008
Matumizi ya Teknolojia Dhidi ya Udikteta Zimbabwe
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , siasa , blogu , harakati dijitali , webu 2.0Unajua yanayoendelea Zimbabwe. Ushenzi. Udikteta. “Demokrasia” ya kijambazi. Nimetazama aina mbalimbali za teknolojia ambazo Wazimbabwe wametumia (watu binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali) katika harakati za kujenga demokrasia ya kweli. Nikaamua kuandika makala kuhusu teknolojia hizo. Makala hii iko katika blogu ya Global Voices Online na pia makala fupi katika blogu ya Reuters:
In countries such as Zimbabwe where media and political freedom is extremely restricted, new technologies have become powerful tools for political campaigning, communication, advocacy and mobilisation. Bloggers and civic organisations have resorted to using new tools and applications such as Flickr, Facebook, SMS text messages, YouTube and mashups to fight for democracy, media freedom and good governance.
Usome makal nzima, bonyeza hapa (Global Voices Online) na hapa (Reuters blog).
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1654' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date