Kuna vuguvugu linaloendelea Uganda la kutumia blogu kama zana mpya kwa wanafasihi. Kumbe blogu sio za mambo ya siasa tu. Kuna habari nzuri juu ya hili inaitwa, “Uganda: The Literary Blogren.” Imeandikwa na Jackfruity kwenye Global Voices.

Carsozy is one of the blogren’s most prolific creative writers. His series, The Devil’s Bonfire, is the story of Simon Katende, a young Kampalan who leaves the city to visit his grandfather and gets mixed up in things he doesn’t understand…

Jon Gosier, an American living and working in Uganda, is also blogging a novel. Muxtionary, currently in its second chapter, is African science fiction.

Bonyeza hapa usome zaidi.