Waziri Mkuu wa Malaysia, Dato’ Sri Mohd Najib Tun Razak ni kati ya wanasiasa wa zama mpya wanaotumia teknolojia mpya kama blogu, Twitter, n.k. ili kuwasiliana na wananchi wake na dunia kwa ujumla.

Malaysia’s new Prime Minister, Dato’ Sri Mohd Najib Tun Razak, is a blogger and a twitterer. Najib is Malaysia’s 6th Prime Minister.

He uses his personal website to reach out to his constituents. The website features links to his Flickr, YouTube and Twitter accounts. He also uploads his speeches and schedule for the day on the website.

Habari hii imetolewa kwenye tovuti ya Global Voices Online, isome hapa.