Mon 4 May 2009
Kenya Airways Kwenye Twitter + Matumizi ya Twitter Kwenye Harakati
Na Ndesanjo Macha, Maudhui: teknolojia , zanaKenya Airways inaelekea wanaelewa ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano unakoelekea. Watazame hapa kwenye Twitter. Kama hufahamu twitter ni nini, bonyeza hapa. Halafu kama wewe ni mwanaharakati au unafanya kazi kwenye shirika lisilo la kiserikali (kwa jina lingine shirika la ulaji wa fedha za wazungu!), bonyeza hapa usome mwongozo wa matumizi ya Twitter kwenye harakati. Mimi kwenye Twitter utanipata hapa.
WordPress database error: [Table 'wp_comments' is marked as crashed and last (automatic?) repair failed]
SELECT * FROM wp_comments WHERE comment_post_ID = '1695' AND comment_approved = '1' ORDER BY comment_date