Obama hayuko nyuma kwenye masuala ya kutumia teknolojia mpya za mawasiliano kwenye siasa na demokrasia. Leo anatembelea Afrika ya Kusini mwa Sahara kwa mara ya kwanza kama rais wa Marekani. Katika ziara hii amekuja na mkakati wa kutumia teknolojia mpya kama vile Twitter (twitter ni ugonjwa mpya!), Ujumbe wa Maaandishi wa Simu za Kiganjani, na Facebook ili kuongea na Waafrika:

“Ever wanted to ask our Son from Nyangoma any questions? In other words, would you like the American president, Barack Obama to answer your questions?,” begins a post at Hot Secrets blog about Obama’s use of new media to engage in a conversation with ordinary Africans.

Bonyeza hapa usome habari nzima.