Naitwa Ndesanjo Sila Macha (Niko kwenye picha hiyo hapo juu na mwanablogu wa picha, Issa Michuzi, Helsinki, Ufini).
Napatikana:
Global Voices Online: http://globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/
Blogu: http://www.jikomboe.com (blogu hii)
http://jikomboe.blogspot.com (blogu ya zamani)
http://www.mwongozo.wordpress.com
http://digitalafrica.blogspot.com (kiingereza, siandiki sana hapo)
Twitter: http://www.twitter.com/ndesanjo
TwitPic: http://twitpic.com/photos/ndesanjo
Flickr: http://www.flickr.com/photos/88854204@N00/
Zaidi juu yangu, nenda google.com kisha kwenye "search" andika: ndesanjo macha



